Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

Tatizo no umasikini tu

Kama tungeacha kuwaomba pesa mtaani, 5m ingetosha

Nawaza tu, baba ndubwi anajisikiaje kuongopa ?
 
Ingekuwa uongo hii habari lazima Mbowe angeitwa kwenye kamata ya maadili lazima ….
 
Tatizo no umasikini tu

Kama tungeacha kuwaomba pesa mtaani, 5m ingetosha

Nawaza tu, baba ndubwi anajisikiaje kuongopa ?

Ingekuwa uongo hii habari lazima Mbowe angeitwa kwenye kamata ya maadili lazima ….
Acha hizo hesabu ndugu kazi wanayofanya ni kubwa ndiyo maana si Kila mtu anaweza kuwa muheshimiwa.Waongezwe nasema waongezwe.
 
Wabunge wanafanya kazi kubwa sana ya kumsifia Samia. Uchawa ni kazi ngumu sana inayohitaji kujitoa ufahamu,hivyo kwa kazi hii ya uchawa wanayofanya wabunge napendekeza walipwe milioni 50.
 
Yaani mpaka mbowe aongee hivyo mnadhani amekurupuka?
 
Pamoja na kukana je wanavyojiona wana sifa gani special ya kuwafanya wao kupokea mshahara Tsh 13,000,000/= pamoja na marupurupu chungu mbovu na bima za maisha za uhakika?
Hii pesa mil13 ilipaswa kuwalipa walimu maana wao ndio uzalisha
1. Ma engineer
2. Ma doctor
3. Wabunge
4. Waasibu
5. Manesi nk
 
Na vikao vyenyewe vya msimu tu
 
Sasa kukanusha bila kusema unalipa ngapi unakua unakanusha Nini?
 
Hivi Hawa manguruwe yanakataa nini na kukubali nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…