Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi 3,327,115,385,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 318,797,562,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya Maendeleo.