Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Natumaini kuna pesa za kumlipa LugumiBunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi 3,327,115,385,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 318,797,562,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya Maendeleo.
Safi,ulinzi na usalama hauna mjadala.Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi 3,327,115,385,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 318,797,562,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya Maendeleo.
Ndogo sana ilitakiwa ifike hata Trion 10, wanunue silaha mpya, meli vitaBunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi 3,327,115,385,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 318,797,562,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya Maendeleo.
Kwenye matumizi ya kawaida si ndiyo kuna kreti za bia n.kMbona bajeti ya maendeleo ni ndogo mno aisee ikitokea chochote tutakwandwa vibaya mno