Lkn pia kwenye PPP siyo lazima tozo kuwepo. Nchi inaweza kuwalipa private investors kidogo kidogo.kuwe na utofauti, daraja la kigamboni lilijengwa na Taasisi ya Serikali kama mradi wa uwekezaji kwa taasisi hiyo (NSSF joint venture) na fedha +faida ilitakiwa irudi, Daraja la Tanzanite linajengwa na serikali kuu kwa mkopo wa Korean fund pamoja na mchango wa serikali, ambapo serikali itawajibika kulipa kama madeni mengine. ni kama miradi mingi mingine ya serikali. mfumo wa PPP ndio mahususi kuchangia (Toll) kama ambavyo chalinze expressway ingejengwa.
Ndiyo tulikuwa tunapigaWhat mkopo? Wa mabilioni ili kupitisha tu mabalozi wachache na familia zao na vifisadi vichache vikina Zitto kabwe vinavyokaa masaki no Please.Give me a break are you sure? Kama kweli Raisi asiende kufungua atume hata mtendaji wa serikali ya mtaa akafanye huo ufunguzi.
Huo utakuwa wizi tu wa kuiba pesa kupitia makandarasi.Hakukuwa na haja ya Hilo daraja kabisa
Ni mkopo. Wakorea walikuja na huo na Hospitali ya Mloganzila. Tumeupigia kelele humu kabla hata haujaanzaWhat mkopo? Wa mabilioni ili kupitisha tu mabalozi wachache na familia zao na vifisadi vichache vikina Zitto kabwe vinavyokaa masaki no Please.Give me a break are you sure? Kama kweli Raisi asiende kufungua atume hata mtendaji wa serikali ya mtaa akafanye huo ufunguzi.
Huo utakuwa wizi tu wa kuiba pesa kupitia makandarasi.Hakukuwa na haja ya Hilo daraja kabisa
Labda ndio maana wabunge wanapendekeza wananchi wataotumia hilo daraja walipie, mabalozi na magari yenye namba za CD hata kwenye kivuko ferry hawalipi wala kupanga foleni kama sisi.Wabunge Hawa vichwa vyao vitupu
Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie
Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga
Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao
Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
Wewe tena.Bado kidogo tu tuanze kutozwa kwenye mapenzi , ukiwa na mpenzi wako unalipia TRA.
Sijawahi kuona faida ya hilo daraja bora hizo bilioni zingetumika kuunganisha lami mikoa ya Katavi to Kigoma, Katavi & Kigoma to Tabora, Singida to Mbeya, Tabora to Mbeya, imarisha kwa kiwango cha standard gauge reli ya Dar to Moshi to Arusha, tena waiongeze ifike mpaka Babati huko Manyara. Pia reli ya Katavi to Tabora ijengwe kwa kiwango cha Standard gauge.. Haya ndiyo yenye tija kwa nchi.Magufuli hakuwa na nia hiyo!
Sawa tu maana kule amna walala hoi tuzo hata 1000 sio kitu kwaoKuna ulazima gani wa mimi kupita kwenye hilo daraja?
Hukumjua Magufuli wewe Kaa kimya. Kama unadhani hoja ndiyo hiyo jiulize kwa nini mpango huo wa kijinga umezikwa kama mwili wake ulivyozikwaAh nilidhani unaongea kiume kumbe una yako..ngija nikuache nayo. Kuhusu historia ilikuwa ni jambo la msingi. Leo hii mtoto wa kihindi aliyepo tanzania anajua historia ya kwao india wakati kazaliwa bongo. Ni vitu wanavyofundishwa darasani.
Leo hii tukikuambia we tuimbie au tuandikie mashairi ya wimbo wa taifa lazima utachemka. Pengine hata tukikuuliza vyeo alivyowahi kushika nyerere utatuambia alikuwa rais tu.
Kupunguza foleni katika maeneo ya upanga/seview! Umuhimu wake unapotea kwa kuweka tozo! Kama ndivyo basi iwe na kiwango nafuu kwa watumiaji wachache wao.Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Zaidi...
Daraja Jipya la Selander kuwa Toll Bridge
Mheshimiwa Spika, Kamati ya Bajeti ilipata fursa ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Daraja jipya la Tanzanite na kutaarifiwa kwamba Hatua iliyofikiwa ni:
kuendelea na ujenzi wa daraja jipya (km 1.03) na barabara unganishi zenye urefu wa km 5.2 ambapo ujenzi umefikia asilimia 87.3. Katika kipindi cha mwaka 2020/21, Shilingi Bilioni 58.8 zimetumika”.
Kamati inaitaka Serikali pindi Daraja hili litakapokamilika na kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni liwe ni daraja la kulipia yaani “Toll bridge” Kamati inaona kwa kuwa kuna njia mbadala ambayo endapo mtu hataki kulipia daraja anaweza kupita ni vyema ushauri huo ukazingatiwa.
Nchi inaponywa na mama 😂😂😂😂Magufuli hakuwa na nia hiyo!
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).

We ni mfu nini mbona umekomaa na marehemu.?Hukumjua Magufuli wewe Kaa kimya. Kama unadhani hoja ndiyo hiyo jiulize kwa nini mpango huo wa kijinga umezikwa kama mwili wake ulivyozikwa
Sawa wacha wapige tu pesa wanyonge wakamuliwe Kodi kulipa huo mkopo Kuna mtu nimeongea naye kuhusu Hilo kasema unashangaa Nini? viongozi wengi wagonjwa wanaumwa ukimwi,visukari,nk vyakula vitamu viwe vyenye sukari,chumvi,nyama tamu nk hawali Na watoto wao wengi hopeless Mungu anawaadhibu kwa kuonea wanyonge kuwa utapata mabilioni lakini presha itakuwa yako, sukari,nyama,chumvi na kila kitamu utakisikia kwenye radio hutakila na kila siku utakuwa Ni watumwa wa gym na kuvaa mibarakoa .Maskini huku akila atakacho na Corona na barakoa anaisikia vyombo vya habari na presha Ni msamiati asiojua Ni kitu gani? Wacha waibe watakavyo ila Mungu yupoSijawahi kuona faida ya hilo daraja bora hizo bilioni zingetumika kuunganisha lami mikoa ya Katavi to Kigoma, Katavi & Kigoma to Tabora, Singida to Mbeya, Tabora to Mbeya, imarisha kwa kiwango cha standard gauge reli ya Dar to Moshi to Arusha, tena waiongeze ifike mpaka Babati huko Manyara. Pia reli ya Katavi to Tabora ijengwe kwa kiwango cha Standard gauge.. Haya ndiyo yenye tija kwa nchi.
Mlijua watatozwa wapinzani tu, mataga mpaka akili ziwarudieBado kidogo tu tuanze kutozwa kwenye mapenzi , ukiwa na mpenzi wako unalipia TRA.
Huo ndo ukweli south Africa ni mwendo wa road toll, kwa hiyo road toll kama ni ujinga, basi UJINGA HUO UPO SOUTH AFRICA.Hivi South Africa Unaonaga kuna Ujinga kama wa Tz [emoji23][emoji23] hilo daraja Linatofauti gani Na FlyOver, HATA lile la Kigamboni Kulipia Sio sawa. Yaani Daraja lipo ndani ya mkoa Mtu alipie?
Mataga bana Sindo wabunge mlioshinda nao kwa kishindo haoWabunge Hawa vichwa vyao vitupu
Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie
Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga
Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao
Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
Daraja la mafisadi wezi wa pesa wakopa pesa waibe kupitia contractors wanaotaka wananchi wanyonge walipe mkopo wakeWa Masaki na Ostybay hawataki fujo za madala dala yetu tunayotegemea kutanua kupita kule kukwepa foleni ya Salender
Maskini una haraka ya kwenda wapi, baki kwenye foleni