Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

Naunga mkono hoja, ikiwezekana hata fly over zote tulipie
 
80% by 2015?! Nina wasi wasi Kama umeshirikisha ubongo wako kabla ya kutype otherwise chuki imetawala kichwa chako.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo

Tulidhani ni fedha za ndani ! Kamati ya Bunge inasema ni mkopo !Description
 
Acha kuwa zezeta, hata kuhamia dodoma na bwawa la umeme ilikua ni ndoto ya baba wa taifa lakn haikuwezekana wakati ile sasa kufanya magufuli ni kuambua kudhubutu sasa hapo unataka tumsifie nani kwa kudhubutu, hivyo hivyo kikwete hakufanya kitu daraja la salender, japo alikua ma mpango,
Kwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
 
Nilipie vipi wakati hizi ni pesa zangu mwenyewe zimetumika kulijenga hilo daraja,au ni Ndugai tena analeta sarakasi zake?
 
Kupunguza foleni katika maeneo ya upanga/seview! Umuhimu wake unapotea kwa kuweka tozo! Kama ndivyo basi iwe na kiwango nafuu kwa watumiaji wachache wao.
Hakuna haja ya tozo, huo ni wizi kama wizi mwingine, daraja la Tanzanite sio mali ya kampuni binafsi.

Vv
 
Sasa tozo zinatisha, Mh. Luhanga Mpina alijaribu na kuwasihi wawang'ang'anie makampuni makubwa, akadai hawalipi tozo zinazostahili, na wahusika wakifanya hivyo wanaweza kukusanya siyo chini ya 20 trilioni shillings per year!
Ila sababu wabunge. TRA na wengine wana vichwa maji basi kwao ni raia tu tu tu!
Hovyo kabisa...
 
Nadhani maidhui yangekua " Daraja la Kigamboni lifutwe tozo kama Tanzanite bridge"
 
 
 
Mama anaupiga mwingi Sanaa.
Hivi hata China Yale madaraja yao kupita napo wanalipia?.
au Mimi ndo mshamba.


Unalipia,na Kuna Mpaka private roads za kulipia Hong Kong watu binafsi wamejenga lakini wenzetu hawana VAT ndio maana kuna Road Tolls sasa sisi kodi zetu zinafanya kazi gani
 
Magufuli hakuwa na nia hiyo!
The whole purpose of that bridge was to reduce congestion on SELANDER bridge heading into town!!! Selander bridge is toll free; if you impose any type of charge for those who might use the new bridge , then motorists because of the imposed charge might opt to continue using the SELANDER bridge instead and you will have defeated the whole purpose of decongesting SELANDER BRIDGE!!!
 
Labda ndio maana wabunge wanapendekeza wananchi wataotumia hilo daraja walipie, mabalozi na magari yenye namba za CD hata kwenye kivuko ferry hawalipi wala kupanga foleni kama sisi.

Vv


Kama mabalozi hawalipi serikali imelala yoooo kwenye tozo hao mabalozi ndio wengi tunaishi nao Masaki na Oysterbay kama hawalipi itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…