Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Nimekusoma mkuu, since Samia kachukua nchi ni kosa gani kubwa kafanya hadi watu wamuoneshe chuki kubwa namna hii?Lazima uwe mpum.bavu kupindukia kuamini kuwa Tanzania inaweza kuishi bila ya Dunia. We are too weak to withstand the global shocks we alone. We need international community support and interactions.
Unaelewa, ni mataifa gani mengine yatafuata?
mipasho bila hoja..hizi akili zinapatikana ccm tu
Impressive twist π€Tumeshakuwa nchi ya uchumi wa Kati labda lengo lao na dhamira ya kutusaidia imetimia sasa wametuacha tutembee wenyewe
Watu hawajui tu Mkuu, hawa wazungu zero kabisa, tunaweza kuishi bila wao! Kwa sasa wanaanza kudata wanajua kwamba tumejua janja yao, tunaweza kuishi bila wao, wamedata, hao denmark ndiyo wajinga kabisa, wafunge huo ubalozi na wasirudi tena tzWaAfrica na Watanzania tuache kulialia, kama Denmark kaamua kufunga ubalozi kwa sababu zake mwenyewe tunambembelezea nini tuendelee tu na maisha yetu..
Kama watanzania tunaamini CCM ndio tatizo tuitoe wenyewe bila kumtegemea yeyote...kwanini tufundishwe demokrasia na weupe?, hebu sasa tuishi tunavyoona sisi inafaa na sio wanavyoona wao inafaa... tukiona fulani anaenda tofauti na ustaarabu tunaoutaka tuchapane tu kuinstall ustaarabu tuutakao na sio ustaarabu autakao mzungu...
Tuache sasa kufikiria misaada na kusaidiwa, tuna ardhi kubwa sana, tuna bahari, mito, maziwa, madini nk...baada ya kulialia twendeni tukafanye kazi kwa nguvu kila mtu kwa nafasi yake halafu muone kama wajukuu zenu watabembeleza wazungu.....Mbona Mchina na Mrusi hawabembelezi mtu....
Mkuu mpaka nchi za wenzetu kufikia uamuzi huu lazima imechukua muda. Kuna uwezekano mkubwa kusudio la haya maamuzi lilianza tangu mwaka jana au nyuma zaidi. Labda kuangalia ripoti ya hivi karibuni inayotoa tathmini ya mahusiano ya Tanzania na Denmark, au hata kama kulikuwa na mjadala wala hili swala bungeni mwao, nk.Nimekusoma mkuu, since Samia kachukua nchi ni kosa gani kubwa kafanya hadi watu wamuoneshe chuki kubwa namna hii?
Ni kweli kiongozi, tatizo linakuja pale watu wanataka kulihusisha swala hili na utawala wa Mama SamiaMkuu mpaka nchi za wenzetu kufikia uamuzi huu lazima imechukua muda. Kuna uwezekano mkubwa kusudio la haya maamuzi lilianza tangu mwaka jana au nyuma zaidi. Labda kuangalia ripoti ya hivi karibuni inayotoa tathmini ya mahusiano ya Tanzania na Denmark, au hata kama kulikuwa na mjadala wala hili swala bungeni mwao, nk.
Lazima pia kutakuwa na mawasiliano kati ya ubalozi wa Tanzania Uswidi na serikali ya Demark. Sidhani kama wameikurupua serikali ya Tanzania kuhusiana na hili.
Wadanish sio mabeberu ni washirika wa maendeleo kupitia shirika la DANiDAAcha mabeberu wote waondoke, washirika wetu wa kimkakati Burundi wanatosha sana
Watu hawajui tu Mkuu, hawa wazungu zero kabisa, tunaweza kuishi bila wao! Kwa sasa wanaanza kudata wanajua kwamba tumejua janja yao, tunaweza kuishi bila wao, wamedata, hao denmark ndiyo wajinga kabisa, wafunge huo ubalozi na wasirudi tena tz
Dunia haihitaji kuambiwa na TL yanayoendelea Tz, halafu grow up acha kumtupia lawama mtu ambaye hahusiki na uharibifu kwenye nchi hii.
Nchi iliyochafuka TL anaichafuaje?
Kasema yeye na Mzee mecco same sameNimekusoma mkuu, since Samia kachukua nchi ni kosa gani kubwa kafanya hadi watu wamuoneshe chuki kubwa namna hii?
Irani inaizidi Denmark mkuu be seriouskuna nchi nyingi tu tunaweza kushirikiana nazo zenye GDP kubwa kuliko Danmark..mathalan Iran, Malaysia to mention a few.. kwann tuendelee kuhemea since 1960s?? ndio uezo wetu ulipoishia?
Wameona nyie ni washenzi tu msiofuata misingi ya demokrasia wameamua kuwaacha mkae na ushenzi wenuKama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.
Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.
Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.
Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.
Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.
Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.
Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".
Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?
Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?
Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.
Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.
Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.
Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Mimi sipo TZ kwa sasa, huku niliko kila mwafrika analilia tuwe na language yetu kwanza, wanasema lugha itatuunganisha, ni kweli, wazungu wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji wao, Our race is the strongest in this world, tukiacha kumlaumu kila mtu tutafikana
Leo hii turkey apigii mtu magoti, wametengeneza ustaarabu wao wanauishi, leo hii wale wanazidi kuchanua na kusonga mbele kiuchumi, kiteknolojia na kila kitu...
Huku kuna majitu yanataka tuendelee kuimbia mapambio wazungu ambao walikuwa wakoloni tumewasoma kwenye historia walivyotesa mababu zetu halafu eti tuanze kulambana matako.....
Africa ijifunze kujisimamia sasa na kuhimiza watu wake kufanya kazi kwa bidii na kujisimamia kwa lolote huku tukiacha hizi tabia za kulamba lamba wazungu na kujibebisha kwao...
Siasa hizo kaka, kumbuka alikuwa bosi wake huyo. Ok, wafanyakazi waliofukuzwa sababu walikuwa hawana cheti cha form 4 wameanza kurudishwa kazini, unataka aende tbc aseme bosi wake alikosea kuwafukuza? Lets separate politics and real lifeKasema yeye na Mzee mecco same same