Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ikiwa hivyo chama kilichouza bandari, loliondo, madini na gesi kwa waarabu na mabeberu kitafutwa.
 
Ccm tayari ni capture ya wageni na raia feki na serikali tsyari ipo mikononi mwa mamluki wa kigeni..
 
Ikiwa hivyo chama kilichouza bandari, loliondo, madini na gesi kwa waarabu na mabeberu kitafutwa.
Huwezi kuruhusu chama kinachojiendesha kwa kuchangisha tonetone kutoka kwa mashoga
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
we una matatizo kichwani siyo bure. ungeseama tu vyama vifutwe baasi
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
CCM imeshauzwa kwa Rostam Aziz, ambaye anaendesha mitaji ya WAYEMEN.

Hakuna chama hapo.

Ndio hata serikali haipo. Dola zima limetekwa.

Hakuna serikali DUNIA nzima huwa inageuziwa SILAHA za KIVITA kwa wananchi wake mwenyewe.

Ndio maana hicho kikundi cha Samia ni kikundi cha KIGAIDI, siyo SERIKALI.
 
Huwezi kuruhusu chama kinachojiendesha kwa kuchangisha tonetone kutoka kwa mashoga
ila unaweza kuruhusu chama kichangiwe mabilion na wauza unga kama lile tukio la mlimani city ambapo wauza unga walichanga mpaka 10 bl? unajua kwamba waingiza sukari wote hapa Tanzania ambao walikuwepo mlimani city kwenye harambee ya ccm na walichangia ndiyo waingizaji wakubwa wa dawa za kulevya nchini? unafahamu kuwa wote hao wana mahusiano na ccm?
sasa kati ya wanaochanga tonetone na wanaopokea pesa za madawa ya kulevya kipi kina madhara makubwa kwa taifa?
jibu kama mtu mwenye akili timamu na siyo chawa
 
Huwezi kuruhusu chama kinachojiendesha kwa kuchangisha tonetone kutoka kwa mashoga
20250508_130957.jpg
20250813_052555.jpg
20250326_151537.jpg
downloadfile-3.png

Ukishataka hayo kun na haya ambayo ccm ndio watendaji.
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Imeshindikana.
 
Yaani ccm ambacho ni chama Cha siasa kujadili muundo wa vyama vingine! How? Zingatia bunge ni la ccm! Mpaka hapa hoja yako imekosa uelekeo!
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
CCM itafutwa sasa.
 
Jinga lao kwenye ubora wako.

Hii ni moja na kuna ile ya wazi Samia alipoyakusanya mafisadi kama lile la IPTL na wenzie.

Na ulivyo mjinga na msahaulifu umeshindwa kujua kua tangu June mwaka jana account za benki za CHADEMA zilifungiwa kutoa wala kupokea pesa.
20251230_154534 (1).jpg
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Aaah
Unataka watu wavyombo vya serikali ya ccm viwemo ndani ya CHAUMA siyo?🤣🤣
Si tayari vipo?
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Yaani ccm ijadili na kuamua mfumo wao ccm wanaoutaka! Hii ni kamasi sio akili.
 
Kwa sasa CCM Bado ndio mwenye mandate ya kuamua mustakabali huo kama alivyoamua miaka ya 90 kuwepo na upinzani na upinzani ukawa
 
Kw
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwa vile tu huna uelewa,
Hata muundo wa bunge la JMT tumeuiga kwa mabeberu.
Sijui una akili timamu kweli!?.
 
Back
Top Bottom