Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Endeleeni kuuharakisha unyakuo wenu.
 
excuse me mr, bunge gani unaloliongelea? Hawa monkeys wavaa suti wanaotokea kwenye chama cha ndizi mbivu na mbichi?
 
Mbona unajihisi Michael Jackson wa mchongo?Kwa tabia yako hii ulitegemea upate mbunge wa namna gani?
 
we jamaa lazima unamatatizo! Sio bure! Sasa mimi nimesema wapi ati mi michael jackson?
 
kwani avatar yako huioni?au uliweka tu bila kujua huyo ni nani?nikikuita kilaza utalalamika?
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hopeless 🚮
 
ko avatar ni mimi? Si ungeniuliza kwanini nimeweka such an avatar badala ya kunijudge?
yaani unaweka avatar bila kujua picha ni ya nani?sisi tunakudefine kuanzia avatar hadi muandiko wako hapa JF...jipange
 
we jamaa lazima una matatizo akianani sio buree! Mi nimekwambia simjui wacko jacko? Ndo maana nimekuambia ungeniuliza kwanini nimeiweka hii avatar badala ya kuonesha upuuzi wako!
 
ndio umeenda kugoogle sasa ...kilaza kabisa.unaweka avatar bila kuwa na objective!hivi tukifa nyie ndio mtakuwa kizazi kijacho?so much disappointed wirh you guy
 
hahahahahaha! Hhhmmhmhahahahahaha!Ati nimeenda kugoogle! Hahahahaha! For your information sucker, wacko jacko is my role model in music industry!
 
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Yaani mbunge la CCM litupangie mfumo wa uenxeshaji siasa nchini! Hebu kaiangalie sura yako kwenye kioo kisha urudi hapa.
 
Kwani aliyekuletea mfumo wa vyama vingi ni chama gani??Kilaza kabisa
 
hahahahahaha! Hhhmmhmhahahahahaha!Ati nimeenda kugoogle! Hahahahaha! For your information sucker, wacko jacko is my role model in music industry!
Unakuwaje na role model wa namna ile?kwa hiyo umechonga pua?
 
mtu akiwa chawa uwezo wa kufikiri hupungua automatically! Mi nimekwambia ni role model wangu kwenye music industry na sio kwenye lifestyle! Usichoelewa ni nini?
 
Back
Top Bottom