Endeleeni kuuharakisha unyakuo wenu.Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
excuse me mr, bunge gani unaloliongelea? Hawa monkeys wavaa suti wanaotokea kwenye chama cha ndizi mbivu na mbichi?Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
we jamaa lazima unamatatizo! Sio bure! Sasa mimi nimesema wapi ati mi michael jackson?Mbona unajihisi Michael Jackson wa mchongo?Kwa tabia yako hii ulitegemea upate mbunge wa namna gani?
ko avatar ni mimi? Si ungeniuliza kwanini nimeweka such an avatar badala ya kunijudge?kwani avatar yako huioni?au uliweka tu bila kujua huyo ni nani?nikikuita kilaza utalalamika?
Hopeless 🚮Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
we jamaa lazima una matatizo akianani sio buree! Mi nimekwambia simjui wacko jacko? Ndo maana nimekuambia ungeniuliza kwanini nimeiweka hii avatar badala ya kuonesha upuuzi wako!yaani unaweka avatar bila kujua picha ni ya nani?sisi tunakudefine kuanzia avatar hadi muandiko wako hapa JF...jipange
ndio umeenda kugoogle sasa ...kilaza kabisa.unaweka avatar bila kuwa na objective!hivi tukifa nyie ndio mtakuwa kizazi kijacho?so much disappointed wirh you guywe jamaa lazima una matatizo akianani sio buree! Mi nimekwambia simjui wacko jacko? Ndo maana nimekuambia ungeniuliza kwanini nimeiweka hii avatar badala ya kuonesha upuuzi wako!
hahahahahaha! Hhhmmhmhahahahahaha!Ati nimeenda kugoogle! Hahahahaha! For your information sucker, wacko jacko is my role model in music industry!ndio umeenda kugoogle sasa ...kilaza kabisa.unaweka avatar bila kuwa na objective!hivi tukifa nyie ndio mtakuwa kizazi kijacho?so much disappointed wirh you guy
Yaani mbunge la CCM litupangie mfumo wa uenxeshaji siasa nchini! Hebu kaiangalie sura yako kwenye kioo kisha urudi hapa.Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama vya watu binafsi au vyama vya dini flani au kabila flani.
Pia litahakikisha vyama vinasimamia maslshi muhimu ya kitaifa na rasilimali zake.
Hili litatoa fursa ya uwajibikaji wa vyama vya siasa kwa umma au Serikali.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kumbe nilikosea kutokukutukanaKwani aliyekuletea mfumo wa vyama vingi ni chama gani??Kilaza kabisa
mtu akiwa chawa uwezo wa kufikiri hupungua automatically! Mi nimekwambia ni role model wangu kwenye music industry na sio kwenye lifestyle! Usichoelewa ni nini?Unakuwaje na role model wa namna ile?kwa hiyo umechonga pua?
rudi kwenye mada
Kwani na wewe ushasha pata wito wa ICC?rudi kwenye mada