Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

Ili uugue ugonjwa lazima yafuatayo yawepo

Lazima mdudu sahihi

Aingilie sehemu sahihi

Awe na uwezo wa kusababisha ugonjwa

Wawe wadudu wakutosha kuweza sababisha ugonjwa

Wawe na nguvu ya kuizidi kinga ya mwili

Ndiyo unaweza ugua

Take it hakuna ugonjwa kirusi unaotibika
Ni kinga ya mwili tu inayoua virusi
 
Mbona povu jingi?Kama kusoma hujui hata picha huioni?
 
Hii imetokea yayari.....Ee mwenyezi Mungu tunaomba huruma yako
 
Umetumwa???
 
JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza Corona
 
Dhalim kafa kwa Corona kama unabisha kufukue ukapime .
Wewe ndio unasema na kutaka kuwaaminisha watu, mie sina sababu ya kufukua kaburi wewe ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa ni kweli kafa na corona kama Maalim seifu.
 
JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza Corona
Ujue mnafurahisha yani mnalazimisha Magufuli kuwa kafa kwa corona na ushahidi wenu et kwa sababu alidharau corona, kafa makamu wa kwanza wa rais Maalim seifu na hakuidharau ila hamumtaji.
 
Bado wanaishi kwenye kivuli cha meko
 
Hayo wanatakiwa kufa wote humo,hatukuchagua wabunge hao...wameingia kwa hisani ya meko n mahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…