PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchaguzi bila chadema kuwepo huo siyo Uchaguzi ni maigizo ya ibirisi wa ccm
 
Maigizo ya uchaguzi wabaki nayo wenyewe. Chakusikitisha zaidi ,wanaoongoza harakati hizi za wizi wa kura ni watu wazima. Hawapendi watoto wao kuwa wadokozi wakati wao wenyewe wanawafundisha kwenye chaguzi zetu. Hii ni laana kwa taifa.

Waziri wa elimu amepata Ubunge kwa wizi wa kura. Ulioratibiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kuwafundisha Waalimu namna ya kutekeleza wizi huo. Ajabu pale Mwalimu yule atakapowafundisha Wanafunzi namna ya kufanya udanganyifu kwenye mtihani, Waziri na Mkurugenzi wanamuwajibisha Mwalimu yule pamoja na mwanafunzi. Wakati wezi wakubwa ni wao? Ndiyo maana nasema ni laana kwa taifa.
 
Wasingekuwa wanafanya uchaguzi haramu bandia na kupoteza mabilioni bure pesa za walipa kodi bora wajitangazie ufalume tu ijulikane moja kuliko kufanya chaguzi feki za magumashi
 
Kuchezea mabilioni kwa uchaguzi hewa feki magumashi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
2020 ulichagua mbunge wewe? Ni jimbo gani walichagua mbunge? Hawa Magufuli aliowapitisha kwa kutumia dola ndiyo unaita uchaguzi?
 
Hapakua na bunge pale palikuepo kikao tu Bwana anasema
 
ibirisi wa ccm jitangazieni Ufalume tu maana huu Upuuzi wa kutengeneza chaguzi bandia ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Usirudie makosa kwani unachagua nani??
 
2020 ulichagua mbunge wewe? Ni jimbo gani walichagua mbunge? Hawa Magufuli aliowapitisha kwa kutumia dola ndiyo unaita uchaguzi?
ibirisi wa ccm hunajisi na kubaka chaguzi zote, wabunge wa ccm ni wabunge Haramu kwani si chaguo la wapiga kura ndiyo maana wawapo bungeni huongea ujinga ujinga mtupu ikiwemo kusema IGP ana haki ya kuwa na mabilioni Bank pasipo kuhoji kaypata wapi kwa mjibu wa mbunge kilaza Msukuma na pia yupo mbunge Abas Tarimba huyo ndiyo mbumbumbu na mpumbavu wa Dunia, aina ya wabunge hawa hupatikana kupitia Chaguzi feki haramu za kishetani
 
Bunge hili ya matokeo ya maamuzi ya Watanzania, bali ni matokeo ya mfumo dhalimu.

No Reforms no Election
Hakuna mtanzania mwenye Akili Timanu aliwachagua wote walijipachika ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani tu, tena wabunge wengine bila Aibu eti walijidai kupita bila kupigwa, Bunge la Tanzania limejaa vioja na vituko kupita mabunge yote Duniani
 
Unatukoromea sisi wananchi kwa makosa tusiyoyatenda? Hizo lawama wapelekee CCM na akina Bashiru na Polepole na yule jamaa aliyelala kule Chato. Wanawajua walikowatoa Hawa Wabunge. Siyo wa kwetu sisi wananchi.
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wenye ufahamu wa mambo mnaamini kuwa kura zenu ndizo zinaamua nani awe mbunge! Kama kura yako ingekuwa na nguvu juu ya mbunge, mbunge angemuheshimu na kumuogopa mpiga kura wake; sasa jiukize; wabunge hawa wanawakilisha matakwa ya wapiga kura au chama chao?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…