PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Iambie NEC, sio wananchi
Hujamsikia Makinda Jana, kasema hata kura zikipigwa kwa upinzani, ushindi ni kwa mboga mboga. Lol
 
Acha kuota tatizo sio watanzania bali ni mifumo
 
Watanzania gani? sikiliza nenda kijijini kwemue kawaleze haya ndugu na jamaa zako au watumie text, humu hakuna wa kulecture tena mkuu, shida iko vijijininsio humu jf, vijijini raia hawako humu
 
Unashauri nini mkuu,maana kwa kura wanasema tusijisumbue LAZIMA washinde eti wao ni chama cha kipunduapindua.
 
Umeandika utadhani hujui siasa za Tanzania zinavyoendaga. Unachagua kwenye option zipi mkuu?
 
Unataka tuchagua wabunge kwa mtindo gani? Lissu aliwahi kuwa Mbunge miaka kumi, unaweza kuniambia alifanya nini kwenye Jimbo lake? Heche huyo ni mganga njaa tu. Sitauliza aliwasaidia nini wana Tatime Vijjini.
 
Kesho Bunge halitavunjwa. Itaongezwa Muda. Kwa nini Bunge la Zanzibar imeongezeka Muda???
 
Dhalimu magu aendelee kuungua zaidi na moto huko ahera kwa uchafu aliofanya uchaguzi wa 2019/20.
 
Unataka tuchagua wabunge kwa mtindo gani? Lissu aliwahi kuwa Mbunge miaka kumi, unaweza kuniambia alifanya nini kwenye Jimbo lake? Heche huyo ni mganga njaa tu. Sitauliza aliwasaidia nini wana Tatime Vijjini.
Sio wajibu wa mbunge kupeleka maendeleo jimboni, huo ni wajibu wa serekali. Kama hujui wajibu wa mbunge aomba ueleweshwe, sio huu upotoshaji wa kitoto unaotaka kuleta hapa.
 
Sio wajibu wa mbunge kupeleka maendeleo jimboni, huo ni wajibu wa serekali. Kama hujui wajibu wa mbunge aomba ueleweshwe, sio huu upotoshaji wa kitoto unaotaka kuleta hapa.
Wabunge wa ibirisi ccm hawajui wajibu wao wowote wao kazi yao ni kugonga meza tu kumsifia Mama mkoloni kaburu toka Zanzibar
 
Sio wajibu wa mbunge kupeleka maendeleo jimboni, huo ni wajibu wa serekali. Kama hujui wajibu wa mbunge aomba ueleweshwe, sio huu upotoshaji wa kitoto unaotaka kuleta hapa.
Wewe una chuki binafsi
 
Hakuna mwananchi alifanya makosa 2020. Kosa lilifanywa na mtu mmoja tu. Binafsi kwenye ubunge nitachagua wa chama chochote nitakayeona ni makini. Mtu kama Babutale au Shigongo hapaswi kupata kura ya mtu mwenye akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…