PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna mwananchi alifanya makosa 2020. Kosa lilifanywa na mtu mmoja tu. Binafsi kwenye ubunge nitachagua wa chama chochote nitakayeona ni makini. Mtu kama Babutale au Shigongo hapaswi kupata kura ya mtu mwenye akili timamu.
Bebhe nang'ho
 
Si walisema linavunjwa leo
Hata likiachwa halina maana kwani ni Bunge lisino na meno kazi yao ni kumsifia mkoloni toka Zanzibar akiwa anawanyanyasa watanganyika kwa kuwabambikia kesi kuwateka kuwafanyia kila uonevu
 
Ebu tuwekee majina ya wabunge unaotaka tuwachague kwa kila Jimbo ili tusifanye makosa tena.
 
Je akina Mushaaambaa,Chiieembee,Tilaaatilaaah &co wanayajua hayaaa?
 
Unawaonea watanzania Hilo bunge Wala hawakulichagua na ndio maana wanamsifu mama mama mama mama na magufuli angekuwepo wangemsifu yeye Hilo bunge halina ridhaa ya wana nchi hata kidogo hivyo usiwaonee watanzania.
 

Mkuu kwani Yalikua ni makosa yetu, Si ni makosa ya TUME wapinzani wote waliondolewq, na walio shinda hawakutangazwa.

Muhumu ni kupambania Tume huru, Ili asije rudi Jiwe mwingine
 
Unawaonea watanzania Hilo bunge Wala hawakulichagua na ndio maana wanamsifu mama mama mama mama na magufuli angekuwepo wangemsifu yeye Hilo bunge halina ridhaa ya wana nchi hata kidogo hivyo usiwaonee watanzania.
Na wanaenda kupitishana tena

Kupiga kura ni kupoteza muda,ule mziki wa chaguzi wa s/mtaa unajirudia tena

Ova
 
Makosa ya kupata wabunge wa namna hii yalifanywa na wananchi au Ccm na Tiss?
 
Unawaonea watanzania Hilo bunge Wala hawakulichagua na ndio maana wanamsifu mama mama mama mama na magufuli angekuwepo wangemsifu yeye Hilo bunge halina ridhaa ya wana nchi hata kidogo hivyo usiwaonee watanzania.
Hawakuchaguliwa na mtu
 
Hili bunge la mataahira wa kulaumiwa ni JPM.
Ndiye muasisi wa ule wendawazimu.
 

2020 hakukuwa na uchaguzi. Wote waliopo bungeni hawakuchaguliwa na wananchi bali ni Magufuli aliwapitisha. Usiwasingizie Wananchi. NRNE ndiyo suluhisho.
 
Hauko Sawa kichwani. Hao wabunge walichaguliwa na watanzania wapi?
 
Sasa Watanzania tujue, nafasi hii tukiipoteza hatutaipata Tena. Tuungane kuukataa UCHAGUZI usio WA haki. No reform no election
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa


Wakili msomi Edson Kilatu aliye pia mchambuzi wa maswala ya sera na katiba anatupitisha exclusively kuchambua mamlaka ya rais wa Jamhuri ya Muungano na pia rais wa SMZ katika kurefusha ukomo wa bunge au Baraza la Wawakilishi :

26 June 2025

BUNGE LA MUUNGANO DODOMA

Kwa upande wa Bunge la Dodoma je hali ipoje kisheria na kikatiba, wakili msomi anafafanua


View: https://m.youtube.com/watch?v=109seI462uQ
Edson Kilatu : ibara ya 65 ya katiba ya 1977 kuhusu Bunge la Muungano kuvunjwa, bunge huvunjwa ikiwa limemaliza miaka 5 , pia ibara ya 90 inaweza kuvunjwa kabla ya wakati au huku ibara ya 91 inazungumziwa kurefusha muda Bunge la Dodoma na la Baraza la Wawakilishi, kimamtiki haitakiwi kutofautiana hivyo inawezekana Bunge la Dodoma kuongezewa muda ...ikiwa ...



(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukiisha wakati wowote ambapo Jamhuri
ya Muungnao iko katika vita Bunge laweza mara
kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara
ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na
miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi
kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo
hii kwa muda unaozidi miaka mitano.

(4) Kukitokea hali ya hatari au kama kuna hali ya
hatari ambayo Rais
anaona inasababisha kuitisha
Mkutano wa Bunge na iwapo wakati huo Bunge limevunjwa na matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu hayajatangazwa basi Rais aweza kutoa Taarifa Maalum ya kuitisha Mkutano wa Bunge na kuagiza kwamba Spika na watu wote waliokuwa
Wabunge mara tu kabla Bunge halijavunjwa wahudhurie Mkutano huo wa Bunge na watu hao pamoja na huyo Spika, watahesabiwa kuwa ndio
Wajumbe wa Bunge kwa madhumuni ya Mkutano
huo na watahesabiwa hivyo mpaka usiku wa manane wa siku yatakapotangazwa matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu.

91.-(1) Rais atalihutubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi
Bunge hilo.

(2) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya

(1), Rais aweza wakati wowote kulihutubia Bunge
Rais aweza kulihutubia Bunge
Sheria ya 1984 Na. 15 ib.
14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…