Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

yaani nyie hamnaga hoja za maana zinazowahusu wananchi wa hali ya nchini mnachojali ni siasa ambazo wengi haziwasaidii sana bei ya vitu kupanda siyo agenda yenu maisha bora kwa mtanzania siyo agenda yenu mnacho haha nacho ni katiba mpya ambayo haileti unafuu wa maisha kwa mtanzania zaidi ya uchiu wenu wa madaraka tu

Na mnatudanganya kuwa mfumuko wa bei umesababishwa na vita ya Urusi na Ukraine, wakati bei zilianza kupanda tangu Hangaya aingie madarakani.
 
Na mnatudanganya kuwa mgumu ki wa bei umesababishwa na vita ya Urusi na Ukraine, wakati bei zilianza kupanda tangu Hangaya aingie madarakani.
unachokifanya au kukifikiria ni kwaakuwa moyo wako haumpendi samia wala ccm unapenda chadema nafikiri kama chadema ndiyo wangekuwa madarakani vitu vingepanda bei ungesema vinginevyo siyo unayoyasema sasa kuutetea utawala unaoupenda lakini kwakuwa siyo huo we vumilia tu kama ni rais anapandisha vitu utanunua penda usipende kama ni hali ya dunia pia utanunua vilevile
 
mfukuzeni kwanza yule mbunge wenu wa nkasi ndiyo mseme kuwa hakuna wapinzani bungeni la sivyo mnapayuka tu
Hakuna bunge pale wacha kulazimisha, wawe live wasiwe live hakuna anayejielewa atakuwa na habari nao.

Kama mnataka bunge live liwe na mvuto kama uliokuwepo kabla itisheni uchaguzi mkuu mwingine, 2020 hapakuwa na uchaguzi yalikuwa maigizo.
 
unachokifanya au kukifikiria ni kwaakuwa moyo wako haumpendi samia wala ccm unapenda chadema nafikiri kama chadema ndiyo wangekuwa madarakani vitu vingepanda bei ungesema vinginevyo siyo unayoyasema sasa kuutetea utawala unaoupenda lakini kwakuwa siyo huo we vumilia tu kama ni rais anapandisha vitu utanunua penda usipende kama ni hali ya dunia pia utanunua vilevile
Hii sentensi yako ya mwisho ndiyo attitude ya CCM na uwongozi wake mzima. Mnaamini tupende tusipende mtaendelea kututawala milele amina maana dola ni ya kwenu na mnamuapisha mnaempenda hata kwa kura za kufogi.
 
Hakuna bunge pale wacha kulazimisha, wawe live wasiwe live hakuna anayejielewa atakuwa na habari nao.

Kama mnataka bunge live liwe na mvuto kaa uliokuwepo kabla itisheni uchaguzi mkuu mwingine, 2020 hapakuwa na uchaguzi yalikuwa maigizo.
kama mnataka hilo subirini mwaka 2030 siyosasa
 
Hii sentensi yako ya mwisho ndiyo attitude ya CCM na uwongozi wake mzima. Mnaamini tupende tusipende mtaendelea kututawala milele amina maana dola ni ya kwenu na mnamuapisha mnaempenda hata kwa kura za kufogi.
tatizo lenu hata wananchi wanaanza kuwadharau hamn agenda za muhimu za kumnufaisha mwananchi na mtaendelea kuwa wapinzani daima maana hamjijengi kwa wananchi mnalazimisha kuwahi kufika madarakani ambako bado mbali sana kwenu
 
Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi.

Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa live kuanzia kesho tarehe 05 Aprili 2022 wakati Mkutano wa Saba wa Bunge mahsusi kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya Serikali utakapoanza Bungeni Jijini Dodoma.

Tarehe 26 Januari mwaka 2016, waziri wa habari wa wakati huo, Nape Nnauye alitoa tangazo bungeni la kusitisha matangazo ya Bunge ya moja kwa moja ikitoa sababu ya kupanda kwa gharama kwenye shirika la utangazi la Taifa(TBC) zilizofikia bilioni 4.2 kwa mwaka.

Nape alisema TBC ilikuwa ikigharamia matangazo ya Bunge kwa kutumia vyanzo vyake vya mapato kama matangazo madogo ya kibiashara. TBC katika kupunguza gharama za utangazo na kubana matumizi ikaona busara kurusha baadhi ya matangazo live.

PIA, Soma=>TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

Afazali tuwacheke vizuri
 
Bunge au kikao cha mbogamboga?
 
tatizo lenu hata wananchi wanaanza kuwadharau hamn agenda za muhimu za kumnufaisha mwananchi na mtaendelea kuwa wapinzani daima maana hamjijengi kwa wananchi mnalazimisha kuwahi kufika madarakani ambako bado mbali sana kwenu
Kama wananchi wanatudharau, ni kwanini hamtaki kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani?
 
Back
Top Bottom