Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

Wakati ule niliona slip ya kuchukua, ndio maana nataka ww uweke hiyo slip ya kuchukua safari hii. Kinyume na hapo kaa kwa kutulia.
Mbowe mjanja sana!

Kawajaza upepo kwamba hachukui hela huku yeye akitia kibindoni na hapa ana watetzi wake kama hivi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maswali hayawezi kuulizwa, na haya yakiulizwa yatakuwa na majibu ya upotoshaji.
Mku kumbuka Nape alitaka hiyo hoja ipewe kipaumbele ila Ndugai na ile Team yake wakaanza kukejeli.
Hili lina umuhimu mkubwa sana kwani kuna Watanzania wakiambiwa alikopa kuliko Marais wote wanabisha kwani alitumia fedha za ndani wakati ni uongo.
Kwani Mama Samia ameridhi madeni makubwa aliyoyaacha
 
Hakuna kitu hapo,bunge la ccm hata wasingeonyesha hakuna kitu kingeharibika
 
Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao

Pathetic! Sawa, tuwataje hao hao Chadema. Wameamua kurejeshe Bunge Live lakini wamekataa kupunguza beinza nidhaa na wameshindwa kurejesha umeme.

You are happy now??
 
Dogo tafuta hela!

Hizi stress zitakuua

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Acha kukariri fukara wewe. Unadhani naishi kwa Shemeji Kama wewe mbwa wewe? Utakuja kuolewa na huyo Shemeji yako endelea tu kubong'oa hapo atakutafuna ndio utaacha kukariri maisha kifalafala.
 
Acha kukariri fukara wewe. Unadhani naishi kwa Shemeji Kama wewe mbwa wewe? Utakuja kuolewa na huyo Shemeji yako endelea tu kubong'oa hapo atakutafuna ndio utaacha kukariri maisha kifalafala.
Maisha yamekupiga mwishowe utavaa kyupi kichwani!

Lugha zako tu humu zinaonesha ni jinsi gani una stress za umasikini

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Maisha yamekupiga mwishowe utavaa kyupi kichwani!

Lugha zako tu humu zinaonesha ni jinsi gani una stress za umasikini

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Vipi umeshamuwekea shemeji yako maji ya kuoga? Mpelekee na taulo akafute mdudu vizuri ampe Moto dadako na akizingua jiandae hapo ule mdudu wa mgongo otherwise utakosa hela ya vocha laanakum mkubwa mtoka pabaya.
 
Back
Top Bottom