Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bunge live ni jambo jema kwani haya mambo ya kumsifiasifia Kiongozi na kulazimisha apendwe linachosha sana.
Sasa ili kuondoa hiyo hulka ni kujua matumizi ya fedha alizokopa ni kiasi gani na alitumia vipi ili watanzania wote tujue na kuangalia je anastahili hizo sifa
Hayo maswali hayawezi kuulizwa, na haya yakiulizwa yatakuwa na majibu ya upotoshaji.