Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanalipwa kusifia mjinga tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipwa kusifia mjinga tupu
Ysiseme wawakilishi wetu, sema wawakilishi wako, kama uliwachagua.Maadam wabunge ni wawakilishi wa wananchi, wananchi hawana chama, watapenda na tutafurahi kuona jinsi wawakilishi wetu wanavyo tuwakilisha bungeni.
P
DA mnaumia sana kutokuwemo bungeni halafu wewe utakuwa ni msigwa weweall is nonsense, virudi visirudi ni takataka! Why? as long as waliomo humo hawana uhalali wa kuwa huo kwa udikiteita wa magufuli, virudi visirudi all is RUBBISH!
kama hawakuchaguliwa wameingiaje bungeni acha wivu kama ulikosa wewe basi tulia tuYsiseme wawakilishi wetu, sema wawakilishi wako, kama uliwachagua.
kama wewe humtambui kwanza hata mbowe hakujui ambaye yeye anamjua ndiyo maana kamuacha hamuongelei aendelee ili achukue ruzukuAfukuzwe kwani kuna hata anayetambua kama yuko bungeni?
Nakushauri sali sana japo upate akili za kupandia kitandani kulala, tofauti na hapo uzee wako utakuwa wa aibu tupu!hata mkipewa katiba mpya mtakuja na lingine maana hamueleweki kabisa nyie bora tuwapuuze tu
kama wewe humtambui kwanza hata mbowe hakujui ambaye yeye anamjua ndiyo maana kamuacha hamuongelei aendelee ili achukue ruzuku
Ona Sasa kila mmoja anakushambulia maana umeandikà utumboDA mnaumia sana kutokuwemo bungeni halafu wewe utakuwa ni msigwa wewe
ona unao waabudu walivyo na njaa na vigeugeu wanawaona kama wapumbavu fulani tu na nyinyi mnakubaliNakushauri sali sana japo upate akili za kupandia kitandani kulala, tofauti na hapo uzee wako utakuwa wa aibu tupu!
angalia hapo juu wapumbavu wenzio ndiyo uje uongee na wanaume humu jfOna Sasa kila mmoja anakushambulia maana umeandikà utumbo
Hachukui kakwambia?Mbowe mwenyewe hachukui hiyo haramu ndio itakuwa huyo mbunge?
Kikubwa kayaca kafa, mimi furaha tele, hata mkate ufike 30,000 poa tu ili mradi Jiwe hayupo mimi sawa tu.Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Umesahau Jiwe mwenyewe alisema yeye ndiye alimtuma Waziri husika(Nape) kuzuia bunge live?Hii nchi ina unafiki sana, na hili atasingiziwa JPM kwamba ndo alizuia, kumbe waliozuia wapo humohumo ndo wananafikia sasa!!
Kama wanaoongoza nchi hayo uliyoyataja hawayaoni kama ni mambo ya muhimu, chama cha upinzani ndio kione yana umuhimu, wakati hawakusanyi kodi?!!Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Kalaga baho! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, nimemwambia asichukue. Kama vipi weka bank statement yao wanavyochukua huo mpunga.
Kalaga baho! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unataka Mbowe akichukua akwambie nmechukua?
Miaka yote alikuwa anakuonesha slip kwamba nmechukua?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
mpumbavu ni hyo aliyekutoa tumboni.angalia hapo juu wapumbavu wenzio ndiyo uje uongee na wanaume humu jf