Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

Na mnatudanganya kuwa mfumuko wa bei umesababishwa na vita ya Urusi na Ukraine, wakati bei zilianza kupanda tangu Hangaya aingie madarakani.
 
Na mnatudanganya kuwa mgumu ki wa bei umesababishwa na vita ya Urusi na Ukraine, wakati bei zilianza kupanda tangu Hangaya aingie madarakani.
unachokifanya au kukifikiria ni kwaakuwa moyo wako haumpendi samia wala ccm unapenda chadema nafikiri kama chadema ndiyo wangekuwa madarakani vitu vingepanda bei ungesema vinginevyo siyo unayoyasema sasa kuutetea utawala unaoupenda lakini kwakuwa siyo huo we vumilia tu kama ni rais anapandisha vitu utanunua penda usipende kama ni hali ya dunia pia utanunua vilevile
 
mfukuzeni kwanza yule mbunge wenu wa nkasi ndiyo mseme kuwa hakuna wapinzani bungeni la sivyo mnapayuka tu
Hakuna bunge pale wacha kulazimisha, wawe live wasiwe live hakuna anayejielewa atakuwa na habari nao.

Kama mnataka bunge live liwe na mvuto kama uliokuwepo kabla itisheni uchaguzi mkuu mwingine, 2020 hapakuwa na uchaguzi yalikuwa maigizo.
 
Hii sentensi yako ya mwisho ndiyo attitude ya CCM na uwongozi wake mzima. Mnaamini tupende tusipende mtaendelea kututawala milele amina maana dola ni ya kwenu na mnamuapisha mnaempenda hata kwa kura za kufogi.
 
Hakuna bunge pale wacha kulazimisha, wawe live wasiwe live hakuna anayejielewa atakuwa na habari nao.

Kama mnataka bunge live liwe na mvuto kaa uliokuwepo kabla itisheni uchaguzi mkuu mwingine, 2020 hapakuwa na uchaguzi yalikuwa maigizo.
kama mnataka hilo subirini mwaka 2030 siyosasa
 
Hii sentensi yako ya mwisho ndiyo attitude ya CCM na uwongozi wake mzima. Mnaamini tupende tusipende mtaendelea kututawala milele amina maana dola ni ya kwenu na mnamuapisha mnaempenda hata kwa kura za kufogi.
tatizo lenu hata wananchi wanaanza kuwadharau hamn agenda za muhimu za kumnufaisha mwananchi na mtaendelea kuwa wapinzani daima maana hamjijengi kwa wananchi mnalazimisha kuwahi kufika madarakani ambako bado mbali sana kwenu
 
Afazali tuwacheke vizuri
 
Bunge au kikao cha mbogamboga?
 
tatizo lenu hata wananchi wanaanza kuwadharau hamn agenda za muhimu za kumnufaisha mwananchi na mtaendelea kuwa wapinzani daima maana hamjijengi kwa wananchi mnalazimisha kuwahi kufika madarakani ambako bado mbali sana kwenu
Kama wananchi wanatudharau, ni kwanini hamtaki kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…