Mbowe mjanja sana!Wakati ule niliona slip ya kuchukua, ndio maana nataka ww uweke hiyo slip ya kuchukua safari hii. Kinyume na hapo kaa kwa kutulia.
Mbowe mjanja sana!
Kawajaza upepo kwamba hachukui hela huku yeye akitia kibindoni na hapa ana watetzi wake kama hivi
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ni binge la CDM? Umechanganyikiwa.Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Lingine la ziada,Sawa, tunampongeza kwa ujanja wake wa kuchukua hizo hela. Je una lingine la ziada?
Mku kumbuka Nape alitaka hiyo hoja ipewe kipaumbele ila Ndugai na ile Team yake wakaanza kukejeli.Hayo maswali hayawezi kuulizwa, na haya yakiulizwa yatakuwa na majibu ya upotoshaji.
Lingine la ziada,
Vipi mbona mwamba kapoa sana? Katiba mmeshaiandika?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Anakimbizwa kupitia maria space?Mwizi anakimbizwa Kimya Kimya. Una lingine kwa msaada zaidi?
Anakimbizwa kupitia maria space?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndio maana ya chama cha siasahata mkipewa katiba mpya mtakuja na lingine maana hamueleweki kabisa nyie bora tuwapuuze tu
Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Acha kukariri fukara wewe. Unadhani naishi kwa Shemeji Kama wewe mbwa wewe? Utakuja kuolewa na huyo Shemeji yako endelea tu kubong'oa hapo atakutafuna ndio utaacha kukariri maisha kifalafala.
Maisha yamekupiga mwishowe utavaa kyupi kichwani!Acha kukariri fukara wewe. Unadhani naishi kwa Shemeji Kama wewe mbwa wewe? Utakuja kuolewa na huyo Shemeji yako endelea tu kubong'oa hapo atakutafuna ndio utaacha kukariri maisha kifalafala.
Vipi umeshamuwekea shemeji yako maji ya kuoga? Mpelekee na taulo akafute mdudu vizuri ampe Moto dadako na akizingua jiandae hapo ule mdudu wa mgongo otherwise utakosa hela ya vocha laanakum mkubwa mtoka pabaya.Maisha yamekupiga mwishowe utavaa kyupi kichwani!
Lugha zako tu humu zinaonesha ni jinsi gani una stress za umasikini
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app