Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Nimemqliza Bunge primary mwaka 1991, Bunge ni moja shule zzilizopo.mjinihqkuna sababu ya kuvunja hiyo shule . Mbona kuna shule nyingi za zamani mfano Kisutu, Olympio, Muhimbili pr, Zanaki nk mbona hamziongelei. Huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine , naona kuna muhuni anataka hilo eneo mnakuja kupima upepo. Shame on you.
 
Mkuu, umekula mchana lakini??..
 
Vipi na Upanga primary school nayo iondolewe?
 
Sisi twosome Bunge hatutokubali shule yetu kuhamishwa , waambieni waliowatuma tutaandamana. Unahamisha shule uweke uwekezaji!!!! Elimu na uwekezaji kipi bora. Semeni tuboreshe mazingira sio kuhamisha shule. Kuna watu tuna historia na shule hiyo.
 
Unaita watoto uchafu!!? Unataka vitu vizuri wapate watoto wa matajiri tu?
Unavyosikia bunge ni ya serikali unadhani wanasoma watoto wa masikini? Fatilia pale ili upate nafasi mwanao kusoma pale inakugharimu sh ngapi
 
Hiyo shule na vile vyuo kuanzia IFM, CBE, DIT vyote vinapaswa kuondoka hapo wakapewe macampus makubwa msata huko au Bagamoyo huko.
IFM wana bonge la eneo huko, nashangaa kwanini hawahami hapo city centre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…