Nimesoma hii thread nikabaki kushangaa! Hawa vijana wa siku hizi mbona wana mawazo ya hovyo sana? Yaani mtu akipata ahueni ya maisha anaona wengine ni takataka na hawastahili kuwepo sehemu fulani. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.
Unajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)? Kama hujui basi na wewe ni takataka ProHuna adabu na mdomo wako ni mchafu kuita shule inayosomesha watoto wetu eti takataka
Kwanini wasiwepo.Nimeuliza Posta CBD na sio mikocheni..
Unajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)??..Kwanini wasiwepo.
We Mkuu unaamini wanaokaa posta wote ni wahindi, bila shaka hata ukiona Mswahili anakaa huko utahisi ana hela sana.
Kuna wengine wanaishi kwenye nyumba zinazomilikiwa na maofisi yao huko, wana vipato vya kawaida tu.
Unajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)??..Uwekezaji uwekezaji kwani maeneo ya uwekezaji yameisha mpaka muwatoe watoto wa shule zenye historia? Serikali ina majengo matupu mengi tu hapo mjini bado mnataka wapoteze hela nyingine? Nyie ndio kila sehemu mnataka kuweka majengo, viwanja vya kuchezea watoto vyote mmeweka majengo mnaona michezo haina maana ndio maana mna watoto mazezeta.
Watu wanakurupuka tu na comments zao za hovyo, mimi ninawachora tu..Unajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)? Kama hujui basi na wewe ni takataka Pro
Yale mazingira yanafaa hata kuwa shule seriously??..S ndo hapo mkuu tumesoma shule Za kubeba mbolea unaenda nayo shuleni sijawah. Kupadharau
Duuh vita tena??..Hii vita unaitaka na Diwani wa Upanga Mashariki Mh Sultan Salim utaiweza?
Nyi mnawaza faida za kipesa tu,ndo mmefikia huko watanganyika!?Wampe mtu ajenge jengo kwa mkataba, floor ya 2 hadi ya 5 iwe madarasa ya shule. Ground floor, Basement na floor ya 6 hadi 30 iwe ya mwekezaji
Kwa zile movements za Magari kwanza ni hatari hata kwa usalama wa wanafunzi wa Darasa la kwanza..Nimesoma hii thread nikabaki kushangaa! Hawa vijana wa siku hizi mbona wana mawazo ya hovyo sana? Yaani mtu akipata ahueni ya maisha anaona wengine ni takataka na hawastahili kuwepo sehemu fulani. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.
we popoma baada ya kujua kuoga unaita shule uchafu? We pumbavu rudi kwenuEti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je??..Nyi mnawaza faida za kipesa tu,ndo mmefikia huko watanganyika!?
Duuh vita tena??..
Sioi tena kwako..we popoma baada ya kujua kuoga unaita shule uchafu? We pumbavu rudi kwenu
Wabakwe kwenye lunch,wabakwe na nani huyo majnuni mchana wa lunch?Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je??..
Vp kuhusu usalama wa watoto wadogo??..Inahitaji ushawishi mkubwa mno kumshauri Diwani abadili matumizi ya hilo eneo toka kuwa shule kuwa Business Mall.
Ni vita maana wadau wanaohusika Ni wengi mno.
Kwani unafikiri kubakwa ni mpaka avuliwe sketi?? Sexual harassment unaijua wewe?? Kumpapasa sio kubaka??..Wabakwe kwenye lunch,wabakwe na nani huyo majnuni mchana wa lunch?