Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 842
- 3,357
Naunga mkono hoja,uitishwe mdahalo wa wazi wa pande zote mbili wa watu wenye akili nzuri,hoja ijibiwe kwa hoja hapo hapo.Mkuu Paschal ukifanikisha hilo nchi itakukumbuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio umeandika hoja za maana nadhani ulikua unawatetea lakini umeona unaowatetea ni watu wenye dharau sana na wasio wasikivu,
Mengine yote ni porojo tupuWanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
bahasha haijamfikiaLeo ndio umeandika hoja za maana nadhani ulikua unawatetea lakini umeona unaowatetea ni watu wenye dharau sana na wasio wasikivu,
Atazuiwa kuingia nane naneUnaendelea kuficha ficha mambo yaliyo wazi, sema ukweli ukuweke huru, serikali imekosea, Samia ametukosea watanganyika, na bunge limetukosea kuupitisha, wauvunje ule mkataba wa hovyo.
Kila siku unautetea ule mkataba wa hovyo, licha ya kuoneshwa mapungufu yake mengi sana, ajabu unaendelea kupotosha kwa makusudi huku ukijua fika serikali na bunge sio malaika, sasa kama unajua serikali na bunge sio malaika kwanini usiwaambie ukweli wamekosea?
Huna maana kabisa.
Mkuu 'Proved', kama nilivyowahi kueleza huko awali nilipoitwa kwenye mada za maandishi ya huyu mleta mada, binafsi huwa sina kinachonivuta nisome maandishi yake, kwa hiyo huwa sizisomi.Hakuna hoja zozote zitakazojibiwa, kubalini tu mmepigwa 'big time'.....Ccm imeonyesha dharau zake waziwazi kwa wenye nchi.
JokaKuu Nguruvi3 Kalamu
zitto junior
Kidogo kidogo naanza kuelewa kwanini hayati aliishia kulifasiri jina lake kuwa ni 'njaa'Usichanganye kujikosha na taaluma, kwa hiyo wewe wakili msomi ule ni Mkataba au Makubaliano? Usiwe una uma na kupuliza at the same time, unakosa integrity...Angalia nyuzi yako ilisemaje? Eti makubaliano, really?
Kusema ukweli watu wa jinsi yenu ndiyo ambao wame set hizi precedence za kuwafanya raia wote kama wajinga...Badala ya kutumia taaluma kusaidia uelewa unatumia taaluma kama dawa ya confusion kwa raia, ndivyo ambavyo watu wanakosa trust na kupelekea hata pale mnapokuwa sahihi kutoaminika.
Kama hao unaosema wajisahihishe, wewe mbona hukusema na mimi ulimi uliteleza nikasema ni makubaliano badala ya mkataba?
Angalau umewasemea wananchi nimefurahi. Yoyote anaekiuka HAKI na kuwadharau wananchi alaaniwe. Asante kwa kujaribu kuwasemea wananchi waliokosa uteteziWanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.
Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.
Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga IGA hii.
Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
- Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
- Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!. Hivyo msitegemee kama serikali yetu au Bunge letu Tukufu litajitokeza na kukiri makosa ya hii IGA!.
- Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
- Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, nilichofanya ni kuonyesha makosa na matundu ya mahali panapovuja. Ni jukumu la mwenye nyumba wetu kuziba hayo matundu, ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
- Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuupinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
- Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
- Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia ana international treaties na a person who has no capacity to contract. Hoja hii ijibiwe kikamilifu
- Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
- Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
- Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Paskali.
Jiwe alikuwa jeuri zaidi yako na yupo six feet under..Mkataba ushasainiwa na hamna lakufanya nyie mawakala wa wezi wa bandarini
Hata akichagua kugombea,SSS has been intensely weakened by DPW issue.
Ana machaguzi mawili na ambayo yote hatima yake ni kua tayari yameshamdidimiza.
1-Kua kama kenge, yaan Kenge hata Damu zimtoke masikioni, Huwa anakomaa tuu ..... Hii itakua faida Kwa Wahuni ,Timu Msoga, na DP world , matokeo ya hiii ni DPW kuamua Siasa zetu hususani Chaguzi Kwa miaka mingi isojulikana!!. Na hapa, sitoshangaa, uchaguzi wa 2025, vyombo vya Dola kutumia haswaaaaa ili kuhakikisha Wahuni wa bungen walounga mkono Mkataba Kwa kubwabwaja kisiasa wanarudi bungeni !!. Kwa Lugha ingine, ndio utakua uchaguzi mbovuuuu kuwahi kutokea Nchini !!.
Mnahisi bila Chaguzi hili ,Wapi PM? Wapi Spika? wapi Waziri husika na watu wake ??.
On the other hand, Watanzania watazidi kuwaona Hawa watu ni wasaliti, waahini, waloamua kutuuza, hivo itakua ni Serikali ambayo imepoteza uungwaji mkono Kwa wananchi .
Na Kama, Uchaguzi utakua huru na wa haki, basi Kwa pamoja tutarejea uchaguzi wa 2010, mwaka 2025 Upinzani utafanya vizuri kuliko wakati wote.
2-Chaguo la pili, ni hili la kuchutuma, kukubali kujishusha, na kukaa mezani na Watanzania na kuvunja Kisha kulianzisha upya suala hili ...... Naaam hapa ndipo Watanzania watajithibitishia kua Kumbe tuna watu wabovu, ila ni wajeuri tu ambao wanatupuuza , Chaguzi hili litamfitinisha na Timu Msoga, DPW na machawa kwakua hao wote watakosa pa kuweka sura zao .
Machaguzi yote mawili ,matokeo yake yako wazi kua tayari kapoteza !!!.
Cha kumshauri, achague Uchaguzi namba 2, alafu Asigombee 2025 !!.
NA ASIRUHUSIWE KUGOMBEA KWA NAMNA YOYOTE INAYOWEZEKANA .Hata akichagua kugombea,
HATOGOMBEA!!!
Narudia tena mdogo mdogo tu utarud kweny akili yako halis ya kukemea pale penye ukakasi. Ni suala la muda tu!!!Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.
Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.
Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga IGA hii.
Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
- Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
- Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!. Hivyo msitegemee kama serikali yetu au Bunge letu Tukufu litajitokeza na kukiri makosa ya hii IGA!.
- Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
- Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, nilichofanya ni kuonyesha makosa na matundu ya mahali panapovuja. Ni jukumu la mwenye nyumba wetu kuziba hayo matundu, ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
- Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuupinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
- Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
- Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia ana international treaties na a person who has no capacity to contract. Hoja hii ijibiwe kikamilifu
- Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
- Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
- Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Paskali.
Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema.
Baba au Mama?Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
Kwa vile baba ndio kichwa cha nyumba, inapotokea Mkuu wa nyumba ni Mama, then huyo Mama ndiye baba mwenye nyumba!.Baba au Mama?
Ninavyoona ni kwamba Serikali inajukumu la kuhakikisha kila jambo zuri lenye manufaa kwa wananchi linapotakiwa kutekelezwa lazima ifanye utafiti wa kina na baada ya hapo itekeleze mradi bila kuruhusu mijadala isipokuwa mijadala iwe kabla ya utafiti na pale ambapo jambo halieleweki.
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.
Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.
Na kufuatia kuibuka kwa kada ya uchawa, huu uchawa umekuwa ukifanywa kwenye medani za siasa na machawa mara nyingi ni watu wa kawaida tuu, ma mediocre na uchawa wenyewe ni mediocrity lakini sasa uchawa umekubuhu, kumeibuka kundi la wanasheria machawa, wanaotetea madudu ya ajabu ya kisheria!.
Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza machawa wa kisheria kujitetea hii IGA ya ajabu ya DPW na Bandari zetu!, lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga hii IGA.
Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
- Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
- Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!. Hivyo msitegemee kama serikali yetu au Bunge letu Tukufu litajitokeza na kukiri makosa ya hii IGA!.
- Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
- Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, nilichofanya ni kuonyesha makosa na matundu ya mahali panapovuja. Ni jukumu la mwenye nyumba wetu kuziba hayo matundu, ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
- Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuipinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
- Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita ni fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
- Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia an international treaties with a legal person who has no capacity to contract. Hoja hii haijajibiwa popote, TLS wameikwepa, naomba hoja hii ijibiwe kikamilifu