Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Kwa sasa majimbo yote ya uchaguzi yako wazi.

Hivyo wale wote wenye nia ya kugombea ubunge na udiwani uwanja uko wazi sasa.

Tusiishie Jf tu tukutane field pia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa sasa majimbo yote ya uchaguzi yako wazi.

Hivyo wale wote wenye nia ya kugombea ubunge na udiwani uwanja uko wazi sasa.

Tusiishie Jf tu tukutane field pia.

Maendeleo hayana vyama!
Msikimbie na masanduku ya kura kama hamkutoa kamasi
 
Napenda kumjua huyu mdada anae imbisha [emoji39][emoji39]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Siyo mdada, ni mama mke wa mtu! Bado ana haki ya kuonyesha hisia zake kwa kazi kubwa na nzuri ya rais wa awamu ya tano.
 
Huyo ni geneus mkuu alizoea kumeza equations za chemia na physics aje ashindwe kumeza propaganda za siasa kweli..

#the best president in Africa.. viva JPM
font fed, inteprenyuaaaaa
 
anahutubia bunge au CCM campaign rally?

Watanzania mtaamka lini lakini nyie???!!

 
Nimekuelewa vizuri sana, ila pia inategemea sana unapangaje data unazotaka kutumia kwenye hotuba yako: inatiwa Pulic Speaking COMM110. Ni kama ulivyosema kuwa hotuba nyingi za Nyerere unazoona hazikuwa na takwimu, lakini pia alikuwa na hotuba nyingi zenye takwimu hasa alipokuwa anataka kuonyesha kuwa baada ya uhuru nchi imesonga mbele alikuwa anatoa data nyingi sana.

Ukiweza kufanikiwa kupata hotuba aliyotoa wakati wa sherehe za miaka kumi ya Uhuru ilikuwa na data nyingi sana na aliitoa kavukavu vile vile mbele ya mgeni wake Richard Turnbull. Ni kwamba jambo kubwa ni kupanga hotuba yako vizuri na kupanga data unazotaka kutumia kwenye hotuba hiyo.
 
Siyo mdada, ni mama mke wa mtu! Bado ana haki ya kuonyesha hisia zake kwa kazi kubwa na nzuri ya rais wa awamu ya tano.
Naomba kumjua mkuu kama unamfahamu!

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Kuna watu wanatamani wausimamishe muda lakini ndio hivyo tena,wacha tu muda utaongea wenyewe...
Na Corona Hii bado kuna watu wa natamani wasimamishe muda ili waende Lee na Corona....!!? Labda itakuwa Ndugai huyo......!!
 
Baaa ya Rais kuhutubia Bunge wale watu wa kusifu na kuabudu wamechafua mitandao ya kijamii wakiendelea na kazi yao ya kusifu na kuabudu.

Hata twende kazi ila kwangu Mimi Rais Bora kwa sasa atabakia kuwa Nyerere na Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…