Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Waalimu wanaanza chekelea maana malipo yao yanakuja...

Ila sijui mambo yatakuwaje kuhusu usomaji maana watoto wamekaa nyumbani miezi 3 sasa
 
Kama miaka hii mitano ilivyoanza na inaelekea kuisha, mitano mingine itaanza na itaisha.
 
Hotuba nzima Muhimu nikufungua shule mambo mengine kaongea Pumba tupu

Ccm bye bye Nduguai see you again.
 
Napenda kumjua huyu mdada anae imbisha [emoji39][emoji39]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wabunge wa kupingapinga kila kitu…….....wamepewa za uso.
 
Back
Top Bottom