Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa! Yaani hii nchi bana aafu yanaumiza mikono yao kupiga makofi meza.Labda ajira za mapepo
Acha gubu ajira zipo usilale ukatarajia itakufuata kitandaniLabda ajira za mapepo
Hizi takwimu huwa wanazipakaje??Ajira
Ametengeneza ajira milion 6
Sekta Rasmi ajira 1mil
Isiyo rasmi ajira 5mil
bado sijaona unalojaribu kutetea au kushambulia; unatetea the obvious halafu huonyeshi unachopinga. Kama unajua kuwa technology za Teleprompter hazikuwapo wakati wa Nyerere na hivyo akajijenga kuwa anaandaa kutoa hotuba zake bila kusoma ingawa wengine.Kutumia teleprompter ni kama standard operating procedure kwa public speech ndefu zama hizi.. ma rais wa dunia nzima wanaitumia.. sasa why mfano umletee nyerere ambaye sie rais wa zama hizi... Magufuli anawanyima raha mnalazimisha kumponda.. huyu ndie rais wetu na anafanya kazi nzuri na anaendana na teknolojia ndio maana unaona ana teleprompter kama marais wengine duniani wa zama zake
Lazima Akohoe,ana mambo mengi kwenye hotuba yaliyofanyika na ndo anashuka kwa speed sana kuyasema huku ana balance hewa.Aongelea Corona
Alishukuru Bunge kwa kupitisha Azimio la kumpongeza.
Anakohoa kohoa
Wabunge wapiga shangwe.....
Awataja waliokimbia bungeni asema hajui kama wamerejea, asema matatizo au changamoto hazikimbiwi. Ukizikimbia ni udhaifu, Uoga, Kutojiamini.
Njia ya kulishinda tatizo ni kukabiliana nalo.
Adai wamepunguza athari za kiuchumi
Shule zote kufunguliwa jumatatu hii