Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Mauzo ya samaki yafikia Bilioni 600

Aongelea Blueprint

Marekebisho ya sheria

Kuondoa Tozo

Biashara nje yafikia zaidi ya Tril 15

Balance of Trade ni chanya
 
dah kweli sina ramani mana pesa znazotajwa zipo wapi mbona zinanipitia kushoto kila nikizisaka.
 
Naomba nisaidiwe, hivi kuzuia bunge lisionekane live kwa wananchi wakati wa mijadala, halafu siku ya kulivunja unarusha live inaleta maana?..najaribu kuwaza!
 
Naona teknologia imewapita pembeni. Huyo anasoma hawezi kukariri hotuba inayochukua zaidi ya saa moja. Angalia vizuri utaona.
Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.
 
Miradi mipya imesajiriwa yenye thamani ya tril 30.

Mageuzi sekta ya Madini

Uanzishwaji wa Wizara ya Madini

Masoko ya madini

Kupunguzwa kodi

Sheria ya kulinda rasilimali za Taifa

Kuzuia utoroshwaji wa madini

Aongelea fidia bilioni 230 kutoka Barrick

Aongelea Tanzanite

Ukuta wa Mererani

Sekta ya Madini imekuwa kwa 17pc

Ujenzi umefatia 14pc

Mapato ya Madini bilioni 346 Mwaka 2018

Mwaka 2020 bilioni 400

Mwezi April walikusanya bilioni 50
 
Kila nikijaribu kusikiliza napata hasira inawezekanaje mtu mzima tena kiongozi wa juu wa serikali kusema uongo??
 
Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.
Basi marais wote duniani hawajui kitu isipokuwa Nyerere tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Utalii

Nyanda za Kusini

Hifadhi mpya 5

Matangazo ya Utalii

Ujangili

Faru imeongezeka hadi 190

Tembo wameongezeka hadi 51000

Watalii 1.5mil

Mapato

USD 2.6bil
 
Sanaa na Utamaduni

Ziliongoza kwa ukuaji 11.2pc
Awapongeza wasanii wa Bongo fleva. Filamu. Mpira

Aipongeza Taifa Stars kufuzu Afcon
 
Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.

Teknolojia imebadilika hata trump anatumia teleprompter

Sababu babu yako alikuwa hatumii simu ya mkononi ama computer haimaanishi ana akili sana na ni mjanja kuliko wewe unaetumia zama hizi.

Kipindi cha nyerere kama teknolojia ya teleprompter ingekuwepo angeitumia pia
 
Ulinzi

Majeshi yameimarishwa kwa kupewa dhana na vifaa bora

Sayansi wamepewa hela vyuo kadhaa

Serikali imejitahidi kuimarisha sekta mbali mbali
 
Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!

Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali.

Niliwahi kuandika humu Washauri wote waliokuwa wanamshauri Mbowe kufukuza Wabunge na viongozi mwisho wa siku watamkimbia. Yametokea Rombo na sasa baada ya hili Bunge kuvunjwa watamkimbia ama kuhamia CCM au hawatagombea kabisa kwa madai wanapunzika kumbe ni kukosa matumaini ya ushindi.

CHADEMA kwasasa kumebaki kikundi cha maslahi sio moyo wa Chama. Madiwani na Wabunge hawatagombea tena uchaguzi huu na walioko makao makuu ruzuku ikishuka watakimbia wote!

Muda utatuambia
 
Uchumi umekuwa kwa 6.9pc

Uchumi umekuwa hadi Tril 130

Nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika.

Akiba ya Fedha kigeni imefikia Dollar 5.3bil kwa miezi 6
 
Basi marais wote duniani hawajui kitu isipokuwa Nyerere tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mbona umekuja na generalization ya ajabu sana ndugu yangu. Wakati wa Nyerere hakukuwa na technology za teleprompters, hivyo mtoa hotuba alikuwa anaingia jukwaani na makarasi ya hotuba yake.

Ukiweza tafuta hotuba ya Rais Mwinyi kwenye umoja wa mataifa mwaka 1987 halafu angalia pia hotuba yoyote ya Nyerere kama alikuwa anasimama na makatasi kwenye lectern; alikuwa na kipaji chake ambacho siyo vibaya kukitambua.

Iwapo imekuudhi, basi iachie hapo usiendelee zaid.
 
Ajira

Ametengeneza ajira milion 6

Sekta Rasmi ajira 1mil
Isiyo rasmi ajira 5mil
 
Kuna anaebisha anachohutubia Mhe Rais....??
Mpaka sasa hii hotuba yake ina reflect uhalisia ulipo.

Serikali ya Awamu ya Tano inasadifu hayo yaliyosemwa....
vivaaaaa Magufuli.
 
Back
Top Bottom