Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.Naona teknologia imewapita pembeni. Huyo anasoma hawezi kukariri hotuba inayochukua zaidi ya saa moja. Angalia vizuri utaona.
Akiongelea ajira mnitag
Endelea kuiziingatia hapo kwenusocial distancing imepuuzwa kama kawa.
Basi marais wote duniani hawajui kitu isipokuwa Nyerere tuMagufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.
Kama upi?Kila nikijaribu kusikiliza napata hasira inawezekanaje mtu mzima tena kiongozi wa juu wa serikali kusema uongo??
Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.
Mradi wa sgr anasema unajengwa na fedha zetu?? Na ule wa kule rufiji stigielers gorge kama sijakosea ww huoni huo ni uongo mtupu
Mbona umekuja na generalization ya ajabu sana ndugu yangu. Wakati wa Nyerere hakukuwa na technology za teleprompters, hivyo mtoa hotuba alikuwa anaingia jukwaani na makarasi ya hotuba yake.Basi marais wote duniani hawajui kitu isipokuwa Nyerere tu
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app