Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Teknolojia imebadilika hata trump anatumia teleprompter

Sababu babu yako alikuwa hatumii simu ya mkononi ama computer haimaanishi ana akili sana na ni mjanja kuliko wewe unaetumia zama hizi.

Kipindi cha nyerere kama teknolojia ya teleprompter ingekuwepo angeitumia pia
Sijaona point yako hapo. Wakati technolojia hiyo haipo watu walikuwa wanasoma hotuba zao kutoka kwenye karatasi, na yule jamaa alikuwa hafanyi hiyyo; usijisikie vibay kumpa credi hiyo.

Tafuita hotuba yoyote ya Nyerere, na zipo nyingi online kama utaona akiwa na karatasi kwenye Lectern. Halafu kumtumia Trump kama yardstick ni kutokujielewa.
 
Naomba nisaidiwe, hivi kuzuia bunge lisionekane live kwa wananchi wakati wa mijadala, halafu siku ya kulivunja unarusha live inaleta maana?..najaribu kuwaza!
Kwa inavyo onekana,changamoto na mapungufu ya bajeti pamoja na sheria mbalimbali si muhimu sana kwa watu kusikiliza.

Cha muhimu ni kumsikiliza rais akiseyama mafanikio ya miaka mitano!
 
Sheria
Utoaji haki

Ucheleweshaji wa kesi

Mrundikano wa kesi.

Majaji 17 rufani

Watumishi 800 wa Mahakama

Mahakama kuu mpya 2 Kigoma na Musoma

Ukarabati Mahakama 4

Mahakama za Kutembea Mza na Dsm

Aipongeza Mahakama na Jaji Mkuu

Teknolojia imerahisisha kesi na kupunguza rushwa

Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali

Wafungwa 42000 wasamehewa

Mahabusu 2800 wafutiwa kesi

Amshukuru AG
 
Mbona umekuja na generalization ya ajabu sana ndugu yangu. Wakati wa Nyerere hakukuwa na technology za teleprompters, hivyo mtoa hotuba alikuwa anaingia jukwaani na makarasi ya hotuba yake.

Ukiweza tafuta hotuba ya Rais Mwinyi kwenye umoja wa mataifa mwaka 1987 halafu angalia pia hotuba yoyote ya Nyerere kama alikuwa anasimama na makatasi kwenye lectern; alikuwa na kipaji chake ambacho siyo vibaya kukitambua.

Iwapo imekuudhi, basi iachie hapo usiendelee zaid.
Kwahiyo point yako ilikuwa ni nini mkuu?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Aongelea tozo 114 kwa wakulima

PAYE kutoka 11 hadi 9

Wastaafu kuendelea lipwa mafao.

2019 wajasiliamali 1.5mil walipewa vitambulisho.

Sheria Halmshauri kutoa 10pc ya mapato kwa wanawake 4pc, vijana 4pc, walemavu 2pc
 
Migogoro ya ardhi

Ofisi zimeanzishwa mikoa yote

Imeongeza kasi ya Urasimishaji na utoaji hati
Hadi za kimila 500K

Vijiji 920 vilivyokuwa maeneo ya hifadhi vimerasimishwa
 
Nikasikia chumaaaa, chumaaaa, chumaaa, sijui wanamaanisha nini?.
 
Yaan kupambana kote kule mpaka mwisho umeambulia patupu?pole sana
Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!

Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali...
 
Mahusiano na mataifa ya nje

Balozi mpya

Cuba
Israel
Turkey
Qatar
Namibia etc
 
Ulinzi nje ya TZ
Wanajeshi wapi DRC CAR na Lebanon
 
Sijaona point yako hapo. Wakati technolojia hiyo haipo watu walikuwa wanasoma hotuba zao kutoka kwenye karatasi, na yule jamaa alikuwa hafanyi hiyyo; usijisikie vibay kumpa credi hiyo. Tafuita hotuba yoyote ya Nyerere, na zipo nyingi online kama utaona akiwa na karatasi kwenye Lectern. Halafu kumtumia Trump kama yardstick ni kutokujielewa.

Kutumia teleprompter ni kama standard operating procedure kwa public speech ndefu zama hizi.. ma rais wa dunia nzima wanaitumia.. sasa why mfano umletee nyerere ambaye sie rais wa zama hizi...

Magufuli anawanyima raha mnalazimisha kumponda.. huyu ndie rais wetu na anafanya kazi nzuri na anaendana na teknolojia ndio maana unaona ana teleprompter kama marais wengine duniani wa zama zake
 
Kuna anaebisha anachohutubia Mhe Rais....??
Mpaka sasa hii hotuba yake ina reflect uhalisia ulipo.
Serikali ya Awamu ya Tano inasadifu hayo yaliyosemwa....
vivaaaaa Magufuli.
"Ajira million 6 kwenye miradi ambayo sitahitaja hapa " 🤣🤣🤣
 
Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!

Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali...
Kuna watu wanatamani wausimamishe muda lakini ndio hivyo tena,wacha tu muda utaongea wenyewe...
 
Back
Top Bottom