Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Sijaona point yako hapo. Wakati technolojia hiyo haipo watu walikuwa wanasoma hotuba zao kutoka kwenye karatasi, na yule jamaa alikuwa hafanyi hiyyo; usijisikie vibay kumpa credi hiyo.Teknolojia imebadilika hata trump anatumia teleprompter
Sababu babu yako alikuwa hatumii simu ya mkononi ama computer haimaanishi ana akili sana na ni mjanja kuliko wewe unaetumia zama hizi.
Kipindi cha nyerere kama teknolojia ya teleprompter ingekuwepo angeitumia pia
Tafuita hotuba yoyote ya Nyerere, na zipo nyingi online kama utaona akiwa na karatasi kwenye Lectern. Halafu kumtumia Trump kama yardstick ni kutokujielewa.