Kuna kuwa independent na kuwa interdependent mkuu unasimamia ukiwa connectedBunge linapaswa kutafakari kama limeisimia serikali ambao ndo wajibu wake mkuu au limekuwa sehemu ya serikali katika kipindi cha miaka hii mitano
Inadaiwa kama rais atataka au kama kujajambo la dharulaKwa uzoefu wangu japo si sheria mara nyingi ma Rais waliopita huwa katikati ya muhula huenda Bungeni kuhutubia kuonesha muelekeo wa Serikal yake lakin inekuwa tofauti kwa mwamba huyu.
Kila la Kheir Mwamba, Jabali, The Great Dr John J P Magufuli mtaani tunamwita Rooselevelt wa Bongo kwa kutuvusha kwny zahma ya corona
Kwanini ndugai jana alimvaa suzan, kwamba nidikteta?Bunge la hovyo kabisa - to be precise bunge la kitapeli:
1. wanakaa wanapitisha bajeti huku doto na jiwe wana bajeti yao.
2. bajeti iliyopitishwa will never be attained, ngoja akili iwaingie mjue effect ya covid-19, I believe in another 3 months you will understand what I am writing
Napenda wabunge wa upinzani waendelee kuwepo ili kuchangamsha bunge!Wingi wao haujasaidia chochote bora tuwe na Wabunge wa chama kimoja tu chama tawala
So what? kwani hujui maana ya janga? nani kakueleza watanzania hatujui kama tuko kwenye janga na hali ni mbaya sana? Magufuli ndo aloleta Covid-19? upuuzi mtupu, endelea kupiga ramli na kuwanga huenda utafanikiwa.Bunge la hovyo kabisa - to be precise bunge la kitapeli:
1. wanakaa wanapitisha bajeti huku doto na jiwe wana bajeti yao.
2. bajeti iliyopitishwa will never be attained, ngoja akili iwaingie mjue effect ya covid-19, I believe in another 3 months you will understand what I am writing
Ukweli ni dawa kwa wapenda ukweli lakini ni sumu kwa wasiopenda ukweli!Ukweli mchungu sana kwa maadui na wapinga maendeleo ya Taifa letu.
Mkuu bunge letu ninasifiwa duniani kote kuwa limeisadia serikali kupiga hatuaBunge la hovyo sana kuwai kutokea hapa Tz. Sioni umuhimu wa kuwepo Bunge hapa kwenye nchi ya Yesu.
Yeah bonge uchambuzi sisi wanaccm tunaakili nyingi ndio maana wapinzani wanatuharaThread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.
Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.
Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Leo jpm atawafunza tulipo fikiaUkishakuwa L7 huwezi tambua chochote.
Kuna wabunge hawajulikani walipo na wananchi hatujaelezwa chochote
Ni wa CCM.
1. Mkono
2. Muhongo
Anatatizo gani?La Kumhusu Mbunge Nimrod E Mkono nakuomba tu kila unapokuwa unafanya Maombi yako kwa Mwenyezi Mungu uwe unamuombea na Yeye pia.
Ila si kwa watanzania mkuu. Ngoja Mwenyezi Mungu akijaalia ishallaah uchaguzi ukamilike utajionea. Tuna unafki fulani hiviBUNGE NI CHEM CHEM ZA FIKRA NA MIJADALA INAYOLETA MAAZIMIO YANAYOLETA MATOKEO CHANYA KWENYE TAIFA LOLOTE DUNIANI!
BUNGE LA HOVYO HUIBUA NA KUJADILI MIJADALA YA HOVYO NA KULETA MATOKEO YA HOVYO AMBAYO YANALIKWAMISHA TAIFA!
WANANCHI TUNAOPENDA KUIONA KESHO BORA YA TAIFA HILI, HII NI NAFASI YETU
YA KIPEKEE YA KUFUTA MACHOZI YETU YA MIAKA MITANO!
TUSIFANYE TENA MAKOSA KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU!
NB;
TANZANIA NI YETU SOTE