Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Namuona hapa IGP Simon siro anaingia hapa mambo ni moto
 
Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.

Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?

Tusubilie.......
 
U
Bora livunjwe warudi majimboni angalau na sisi raia tupate hizo rushwa ndogo ndogo kama pilau, pesa za ugoro,kofia na mengineyo maana tumezi 'miss' kwa muda mrefu.😂😂😂
Ukishapokea hivyo virushwa baadaye utamlalamikia mtoaji kuwa hakuletei maendaleo?Watanzania hebu tuwe wakweli,Sisi wenyewe tunapokea rushwa tukishangilia halafu tunalalamikia ufisadi wa watawala?Mara nyingi wagombea watoa rushwa za T Shirt,kofia,kanga,madera,sukari,chumvi,pombe au ugoro tunawafahamu ni wa chama cha zamani lakini bado tunawapa uongozi miaka nenda rudi,nao wamewazoea na wanauhakika mtawachagua tena na tena hata msipotaka tens kwa kishindo.
Mtawafanya nini?Wao ndiyo wameshika mpini.Tume yao,POLICE wao,Mahakama ni zao na nguvu zote wanazo.Ukitaka kuamini,sikiliza Bunge Live leo usikie mipasho mtakayotupiwa kabla ya kuwekwa Kibllah.
Wananchi wazalendo wa nchi hii tumekuwa wanyonge kwa Sababu ya kuwahofia watawala wakatili wanaojali wingi na ukubwa wa miradi huku sisi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wakitukejeli.Uchumi umekuwa mgumu,kipato cha mkulima,mfugaji,mvuvi,mfanyakazi na wengine wengi kimedorora mno,ajira zimepungua kama siyo kukosekana kabisa na hili haliwashughulishi wenzetu tuliowaamini kututoa hapo,wanadai wanatekeleza miradi ya kimkakati.
Tuchukue hatua,tusichague viongozi kwa mazoea,chagua mgombea sahihi na siyo chama.Kura yako ni ya thamani kulikoni kitu chochote maishani mwako.
 
Bunge la hovyo na dhaifu tangu tupate uhuru bora likivunjwa na jenvo lenyewe
 
Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.

Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?

Tusubilie.......
Athari gani tena hakuna kitu kwani wasipohudhuria kuna posho zao kuzuiwa, watakuja wasaini kuingia baada ya muda mmoja mmoja atatoka nje na kuishia zake siku itakuwa imetoka hiyo. Mema yapi aliwafanyia ili wahudhurie kuisikiliza hotuba yake, ubaya wake ndio utamfanya achukiwe
 
Spika wa bunge hili mhe. Ndugai amemudu sana kuendesha bunge kulingana na wakati, hakutetereka wala kuyumbishwa, amesimama imara ktk mamlaka yake,
Pongezi nyingi kwa ndugai, tunakuombea Mungu akulinde urudi tena mwakani, taifa bado linakuhitaji zaidi.
 
Athari gani tena hakuna kitu kwani wasipohudhuria kuna posho zao kuzuiwa, watakuja wasaini kuingia baada ya muda mmoja mmoja atatoka nje na kuishia zake siku itakuwa imetoka hiyo. Mema yapi aliwafanyia ili wahudhurie kuisikiliza hotuba yake, ubaya wake ndio utamfanya achukiwe
Wananchi wanawaona na leo Taifa zima macho yao yote yapo Dodoma.
 
Rais wa Zanzibar Dk shein amewasili bungeni na amepita moja kwa moja anaingia bungeni
 
Umeandika mambo mengi muda wa tukio hujaweka!.
 
Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.

Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?

Tusubilie.......
Mimi nisingelikwenda, kusikiliza nini?
 
Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.

Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?

Tusubilie.......
Akili nyingie za ajabu sana kama unasema tusubilie sasa ukikuwa unamuuliza nani?
 
Yote sawa waingie wasiingie hawaongezewi wala kupungukiwa kitu.
Ila mimi naona bora wasiingie kusikiliza mipasho na taarabu za Bali_yesu wataumia bure na kuongeza masononeko.
 
Kwenye list ya maspika umekosea sequence kidogo.

(1) Abulkarim Karimjee -Mpaka 1962
(2) Adam Sapi Mkwawa- 1962- 1973
(3) Erasto Mang'enya- 1973- 1975 (Sikumbuki ni nini kilichomfanya Mkwawa aache gap hili)
(4) Adam Sapi Mkwawa - 1975- 1994
(5) Pius Msweka - 1994- 2005
(6) Samwel Sita - 2005-2010
(7) Anna makinda- 2010-2015
(8) Job ndungai - 2015-2020
Mkwawa alienda masomoni hivyo erasto mang'enya alishika kwa muda huo baada ya mkwawa kumaliza masomo akaendelea na uspika mpaka alipostaafu na kumuachia msekwa 1994
 
Back
Top Bottom