Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Nadhani ndio maana PM akaamua kwenda zake kwenye kampeni maana aliona hakuna cha Maana.. Sema CCM wanauchu wa madaraka sana, yaani kuna sababu gani PM kwenda kupiga kampeni kwenye Jimbo moja ilihali wana majimbo zaidi ya 360 yanakero za kutosha?πŸ˜†πŸ˜†
 
Nikikumbuka Bunge lililopita, nilikuwa naisubiria kwa hamu sana siku ya Alhamisi kumuona kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati huo, kupata wasaa wa kumuuliza Waziri Mkuu juu ya sensitive essues
Wabunge wa CCM ni wabobezi katika kuomba miongozo, huwa walikuwa wanasubiri nondo za wapinzani ndipo nao wapate mwanya wa kuomba miongozo
 
Ina maana hata wale Covid-19 na wao wamewekewa operating system ya maccm
 
Kusema ni rahisi sana kuliko kutenda,hata wale waliounga mkono juhudi wamekosa la kuuliza kwakweli inashangaza sana.
Kwakuwa wote ni wakupitisha ilani ya Chama tusitegemee kuona maswalai ya kuikataa au kukinzana na ilani ya Chama, aibu, mshangao,kutokujua mwelekeo vyote ni toka ndani ya Chama tawala.
 
Kuwa makini sana na groupthink katika mikutano ambayo haina maswali.
 
bunge dhaifu huzaa wabunge goigoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…