Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

#NipasheBUNGENI Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.

Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.

Hili tukio litawaongezea Polisi maslahi au/na kuwapunguzia wabunge!
 
Hii ndio hatua muhimu yakuoneshana kwa vitendo maana ya thamani ya neno haki kwa kila mmoja kwa matendo yake.
 
Mkataba wa kupangisha ndivyo unavyosema? huyo polisi atafute wakili amdai fidia ya mabilioni chap chap.After all ni mbunge Ana mipesa mingi aweza kulipa
 
Mawakili kesi ya bure hiyo hapo undeni jopo la mawakili nguli mumburuze huyo mwakagenda mahakamani mdai fidia mabilioni .Akilipa mtakata hela zenu za uwakili humo.Msaidieni huyo polisi bure bill hata kumdai shilingi ili huyo.mama ashikishwe adabu ajue kuwa na nyumba sio issue ya kumfanyia mpangaji utakacho
 
Nyumba aliyejenga ndio mwenye mamlaka nayo
Mkataba Hana mamlaka nje ya mkataba wa kipanga.Mkataba una hayo yake? Nyumba yako mwenyewe yaweza kukupa matatizo ukafa kwa presha Kama hujali mikataba ya kupanga.

Lugora mtu wako huyo mbunge kajileta mwenyewe
 
Huyu mama kafanya poa ila pia hajaangalia madhara yanayoweza mkabili polisi ndio serikali anaeza pata janga lolote atapoenda polisi unadhani watamuhudumia kwa style gani???
 
Mawakili kesi ya bure hiyo hapo undeni jopo la mawakili nguli mumburuze huyo mwakagenda mahakamani mdai fidia mabilioni .Akilipa mtakata hela zenu za uwakili humo.Msaidieni huyo polisi bure bill hata kumdai shilingi ili huyo.mama ashikishwe adabu ajue kuwa na nyumba sio issue ya kumfanyia mpangaji utakacho
Hauna akili
 
TRA mama mbunge kakiri Ana nyumba anapangisha pelekeni kikosi Cha kukagua Kodi zenu kwenye hizo nyumba Kama miaka yote amekuwa Akilipa Kodi ya mapato kikamilifu
 
TRA mama mbunge kakiri Ana nyumba anapangisha pelekeni kikosi Cha kukagua Kodi zenu kwenye hizo nyumba Kama miaka yote amekuwa Akilipa Kodi ya mapato kikamilifu
Hivi nini kinawauma?? Mlipoanzisha ubaguzi mlitegemea nini? Acheni kujitoa ufahamu
 
Mawakili kesi ya bure hiyo hapo undeni jopo la mawakili nguli mumburuze huyo mwakagenda mahakamani mdai fidia mabilioni .Akilipa mtakata hela zenu za uwakili humo.Msaidieni huyo polisi bure bill hata kumdai shilingi ili huyo.mama ashikishwe adabu ajue kuwa na nyumba sio issue ya kumfanyia mpangaji utakacho
Hivi kupangisha ni lazima??
 
Watu wa Ardhi hizo nyumba zake ni za biashara anapangisha .Kodi ya majengo Kama alikuwa Akilipa Kama nyumba ya kawaida mdaini alipe difference sababu hiyo yake sio ya makazi ni ya biashara
 
Hivi nini kinawauma?? Mlipoanzisha ubaguzi mlitegemea nini? Acheni kujitoa ufahamu
Hapa naongelea Kodi ya TRA mkuu.Serikali ikacheki Kama imekuwa ikipata Kodi yake kwenye hiyo nyumba yake ya biashara ya kupangisha
 
Awa police unajua uwa nawaonea huruma sana jinsi wanavyotumika na watawala halafu unakuta askari anabanana mpaka ada ya mtoto anakuja kukukopa. wacha mbunge awashugulikie tu hawana tija.
 
'Wabunge wa ccm wanafikiria kwa kutumia makalio' RIP masaburi. miaka kadhaa baada ya kifo cha huyo marehemu naanza kuona ukweli, hadi wanachama wa ccm mpaka mwenyekiti wao..!
 
Na mimi namfukuza mwisho wa mwezi huu kodi yake ikiisha.sioni sababu ya kumpangisha polisi kwangu. Mwambieni IGP anitafute
 
Back
Top Bottom