Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kilaza TuStella manyanya ni mhandisi mbobezi. Ni electrical engineer wa ukweli. Usichukulie poa
Labda ungesema akina Cathy magige, Agnes marwa and the likes.....
Sema mjuba alochangia na Kutoa Hoja ya Viewers Tv License Yuko Njema Sana KiuchumiWanaojadili wenyewe 90% hawana akili za kutosha
Mishahara yao IPUNGUZWE 75% TUFUNGE MIKANDA WOTEMbunge anapendekeza Kodi Mpya ya Viewers Tv Licence [emoji3][emoji3][emoji3]
.
Sema Jamaa inaonekana ni mchumi Mzuri sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nafikiri kuna jambo litafanyikaWanatuumiza sn
Bado mashangingi bungeni tuHawa wabunge wengine kama Stela Manyanya wangekosa ubunge wangekuwa mashangingi tu mitaani.
Ko ni wananchi wa kumpa hyo nafasi au vyombo vya ulinzi na usalama vitiifu kwa mtawala?Hata ukinidhihaki ila ukweli ni kwamba uchaguzi wa mwaka 2025, umeshaisha tunakwenda kuchaguwa wabunge tu.
Wenye akili timamu wote wanalijuwa hili hakuna mwenyewe jeuri ya kumuondowa sitting president huku vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake na vinamtii.
View attachment 2212261
Meno ya mbwa hayaumani watu husemaMeno wanayo swala ni kwamba je,wanaweza kujiuma...?[emoji3]
Hakuna kitu hapo, kwanza kwanini wakae siku 90 ajili ya budget ya siku 360? nchi gani tena bunge linakaa muda mrefu hivyo? waanze na matumizi yao kwanzaWanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.
Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
Sasa hiki ndio kinatokea Leo,
Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.
Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!.
Paskali.
maigizo tupuNafikiri kuna jambo litafanyikaView attachment 2212287