Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei
Watajadili ila, amini hakuna mabadiliko yoyote yatafanyika...

Wanaweza kujadili hata siku 3.. Mwsho wa siku wanapotezea au watakuja hoja nyepesi tu
 
Ni lazima Serikali iruhusu ushindani wa Kibiashara wa Kampuni mbalimbali za kuleta mafuta nchini!

Ushindani wa Kibiashara huleta nafuu kwa wananchi!

Serikali haitakiwi kucontrol biashara bali inatakiwa kuregulate biashara!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kweli tunapigwa, huku tena tunadanganywa na waziri mwenye dhamana tuna akiba ya kutosha ya mafuta, sasa kama akiba ipo kwanini bei inazidi kupanda kila siku?

Mafisadi wanatumia kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine kutuumiza, na hata siwalaumu sababu walisharuhusiwa na Rais, kuanzia waziri wa nishati na ile bodi yake yote sina imani nao, tupo mikononi mwa mafisi.
 
Wanatuumiza sn
Nafikiri kuna jambo litafanyika
Screenshot_20220505-112736_Instagram.jpg
 
Hata ukinidhihaki ila ukweli ni kwamba uchaguzi wa mwaka 2025, umeshaisha tunakwenda kuchaguwa wabunge tu.

Wenye akili timamu wote wanalijuwa hili hakuna mwenyewe jeuri ya kumuondowa sitting president huku vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake na vinamtii.

View attachment 2212261
Ko ni wananchi wa kumpa hyo nafasi au vyombo vya ulinzi na usalama vitiifu kwa mtawala?
 
walivyokua wanapitisha matozo na makodi ya ajabu kwenye mafuta walitegemea Bei zitabaki vilevile. wabunge tulio nao sio wawakilishi wa wananchi ila ni wawakilishi wa chama Chao ndio maana kwenye matatizo ya wananchi hawawanyanyui midomo ila wakiona Jambo litawahalibia chama chao wanaanza kujifanya kuongea
 
Wanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.

Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Sasa hiki ndio kinatokea Leo,

Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.​

Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!.
Paskali.
Hakuna kitu hapo, kwanza kwanini wakae siku 90 ajili ya budget ya siku 360? nchi gani tena bunge linakaa muda mrefu hivyo? waanze na matumizi yao kwanza
 
Back
Top Bottom