BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Matusi haya yanaletwa kwenu kwa hisani ya......... kodi zetu wenyewe. Bado kidogo wataanza kututukania mama zetu zatu sasa. Tumewakosea nini? Pamoja na heshma tunayowapa, na posho za kufuru, bado wanadiriki kutukana?
 
mwingine akawaita wanawake ni wapumbaf,huku mwingine akisema serikali hii ya kipumbaf.kweli hali ni mbaya sana.
 
Mimi nimelisikia pia tumesononeka sn pia tumeshangwazawa na spika kutomchukulia hatua sijui hii nchi inaenda wapi ndg zangu AIBU AIBU wtz wenzangu.
 
Spika jana alizungumza lakini ninadhani walengwa walikuwa CDM!

Mliokuwepo mjengoni waliitwa askari kumtoa?

Tulio nje ya jengo yetu ni macho na masikio ya wabunge wa chama tawala wanavyoendelea kumwaga radhi.

Hatma yao imekaribia sana, tusishangae wakifanya zaidi ya haya.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Nimesikia,nilikuwa siamini mhishiwa Seru-rope amesema hayo maneno.Halafu Naibu Spika anasema "...Mheshimiwa Seru-rope ndiye mwenye nafasi ya kusema....."Kama vile hakuna kitu kilichotokea.Ngoja kwanza nilale nisije nikaharibu siku yangu bure.
 
Just thinking loudly, hivi kama Serukamba na Lusinde wangekuwa wanatoka vyama tofauti ingekuwaje na hayo matusi yao....?

There are currently 729 users browsing this thread. (141 members and 588 guests)

Hapo kwenye gesti hawakosekani wausalama ya taifa
 
Niliposikia Mb. Serukamba kasema hicho alichokisema nikiwa na mwanangu, kwanza nilijihisi kama nimepata stroke hivi, haraka nilizima king'amuzi changu ili mengine zaidi ya hayo ya Mb. Serukamba yasije yakasikika zaidi na yakamuangamiza mwanangu katika kipengele cha maadili!!!

Lakini kilichonishtua zaidi ni pale Mhe. Naibu Spika alivyolipotezea jambo hilo lililoshtua hisia za kila aliesikia, maana nimeambiwa hakuchukua hatua yeyote kutokana na kauli hiyo ya Mb. Serukamba.

Rai yangu kwa wana-JF, haya maswala ya matusi, kejeli na kashfa ndani ya bunge letu tukufu, sitaki kuamini kama ni misimamo ya chama chochote cha siasa, bali ni huruka ya mtu binafsi.

Nawasilisha.
 
Dawa ya moto ni moto.

Woooh! Wooooh! Wooooooooh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
KWA HILI NASHAURI SPIKA AWAJIBISWE ACHUKULIWE HATU BILA KUJALI CHAMA (nimemnukuu kiongoz ccm mwanza tupo hapa tunajadili tusi la leo kwa maslahi ya wote sio chama chochote)
 

hapo kwenye bold, umeniacha hoi!
 

Mkuu kwan wanao wanajua f**ck u ni nini? au wewe ni mmoja wa wanafamilia bora na unaishi kwa ufisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…