hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ingekuwa kwa nchi zilizostaraaribika kwa kutumia neno kali kama hili katika ukumbi muhimu kama Bunge wananchi wangeandamana kumtaka ajiuzulu, hata kabla hajachukuliwa hatua. Kwetu huku kila kitu ruhsa madamu tu uwe CCM!! We are doomed so long as we continue allowing this party to lead our dear country. Tunapaswa kuachana na kila kitu kwa sasa hivi tushughulikie kwanza kuwatoa hawa jamaa madarakani, ndio tuanze kufanya mambo mengine.
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Ushauri
- Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
- Chief whip wa upinzani must act also
- Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
- Police must act on this
- Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
- Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
- Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
- anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
- Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
- 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe
https://soundcloud.com/newsaddict/s...nt=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
khaaa hilo bunge litakuwaje wote wakipuliza........
Ni kweli, Serukamba amesema come on, f.u.c.k you
Bado unasubiri? Ndo ishatoka hiyo....kama nilimwelewa, Makinda alisema mbunge akitukana anaita polisi na sio ataita!! I don't believe kama haya mambo yanatokea kutoka kwa watu wazima!!Kasema f.a.k.y.u da!c walisema ukitukana wanaita polisi ngoja tuone ccm bana