Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Hata ufanye yote hayo haisaidii kitu aisee. Wabunge wa CCM wanajisikia sana, wanaona kama wako juu ya kila kitu na hizo dharau ndio zinasababishwa wawatukane wenzao matusi ya nguoni kwa kuwa wanajua hawatafanywa kitu chochote
double standards
Amesema ...*Camoooon ----ing* aibu hiiu
Hahahaaaaa mkuu hii funika kombe,.wanatuchukulia poa sana hawa magambaTena kabisa leo asubuhi namsikia Naibu spika akihojiwa na Redio One Kumepambazuka kuhusu adhabu kwa mbunge atakaye toa lugha za matusi bungeni akawa anarudiarudia kuwa atatolewa nje na polisi sasa napata shida kuamini kama huyo alikuwa mbunge au mgeni mwalikwa
Kiswahili je?
he is toxicated......binafsi nilikuwa namheshimu sana lakini kuanzia leo naona bado hajakuwa kiakili,probably he is mentally retarded