Mkuu jigoku hakika nilishtuka nikadhani sijasikia vizuri...very loud and clear
Yaani huyu jamaa asipochukuliwa hatua za kinidhamu.mama makinda atakuwa halitendei haki taifa hili.
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Nimeshangazwa sana na Serukamba,, amesema COME ON FU*K YOU...
Nilikuwa sijaangalia bunge 2013 na leo imetokea kwa bahati mbaya but sirudii tena kuangalia bunge. Mbaya zaidi kavaa suti na ni jana tu Spika alisema atawakamatisha polisi. Wapi tunaenda jamani mbunge mwenye zaidi ya miaka 7 bungeni kusema F*CK YOU bungeni
hii sasa Too much kama wanashindwa kubehave Bungeni ..
Lakini inasaidia kujua Tabia zao halisi ili 2015 wakati tunatoa kura zetu ,tutakuwa makini zaidi
Inafurahisha kusikia maneno kama haya lakini hofu yangu ni pale nyinyi kinamama mtakapopewa kanga/vitenge na fulana za kijani sina hakika kama mtayakumbuka hayo maneno yako.hii sasa Too much kama wanashindwa kubehave Bungeni ..
Lakini inasaidia kujua Tabia zao halisi ili 2015 wakati tunatoa kura zetu ,tutakuwa makini zaidi