Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

Jamani tunaomba wajuzi mtujuze. Hivi Kenya ODM wanatambuliwa kama wapinzani bungeni mwao??????? Hivi Uingereza chama cha liberal wanatambuliwa kama wapinzani???? Hivi Zanzibar CUF kinatambuliwa kama chama cha upinzani????????????? Nadhani jibu ni hapana!!

Je, kuungana kwa CCM na CUF kuunda serikali Zanzibar haimaanishi kuwa baraza la wawakilishi zanzibar sasa halina upinzani???????????? Nadhani jibu ni ndio.

Je, Inawezekana CCM na CUF wawe na makubariano Zanzibar lakini TZ bara CUF waoneshe upinzani wa wazi kwa CCM...obvious haiwezekani. Inahitaji maelezo ya ajabu sana kuamini hili. CCM ni moja! CUF pia ni moja! Huu ndio ukweli. Haya mambo ya TZ bara na zanzibar ni matatizo ya katiba yetu tu.
 
haya machungu chadema inayopitia wenzao cuf walishayapitia kipindi kirefu. Damu zao zimemwagwa kwa wingi hadi wakakimbia nchi. Wakaishi kama mateka kule shimoni. Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Sasa kimeeleweka.
kila chama cha upinzani mwisho wake ni kuingia serikalini - a.k.a kula. Staili ni nyingi za kufika huko. Na mara nyingi mtaji mkuu ni walalahoi. Eti kutetea walalahoi. Eti nini???? Katiba. Eti nini vile?? Uchumi. Ya mwai kibaki si tuliyaona? Huyu jamaa aliahidi katiba ndani ya siku 100. Baada ya kuingia katiba ikaandikwa ndani ya zaidi ya miaka mitano. He, kulikoni?
tuwe wakweli upande mwingine! Baada ya dhiki huja faraja!!! Waacheni kafu wafaidi. Wamepoteza damu kupigania haki.
chadema hawajapoteza damu hata moja ila wameua!!!!!!!!!
 
duuuu PUMBA nyingine hii!
 
Sasa katiba haipo Kenya? kwani litakuwa ni suala la kuulizwa tena? si afadhali wao kuliko wale wa kwetu waliotuahidi mahakama ya kadhi na hatujaipata na tumeanza miaka mitano mingine!?
Ni afadhali wale wametimiza angalau within four years kuliko hawa waliotuhaidi maisha bora na hatujayaona miaka mitano? sasa wametuahidi meli, viwanja vya ndege vya kimataifa, Dubai ya Afrika, Carfonia ya Afrika, na ujinga wa kila aina wakati yale waliyotuahidi wakati uliopita bado? No comparison ndio sababu ulioandika hapo juu ni CRAP.
 
Maelezo ya m cuf jana bibic yahakuwa ya msingi. Ni wabinafsi zaidi. Ni ccm b waukweli. Waachwe walivyo. Najua cuf itakuja na chama kingine soon.
 
haya machungu chadema inayopitia wenzao cuf walishayapitia kipindi kirefu. Damu zao zimemwagwa kwa wingi hadi wakakimbia nchi. Wakaishi kama mateka kule shimoni. Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Sasa kimeeleweka.
kila chama cha upinzani mwisho wake ni kuingia serikalini - a.k.a kula. Staili ni nyingi za kufika huko. Na mara nyingi mtaji mkuu ni walalahoi. Eti kutetea walalahoi. Eti nini???? Katiba. Eti nini vile?? Uchumi. Ya mwai kibaki si tuliyaona? Huyu jamaa aliahidi katiba ndani ya siku 100. Baada ya kuingia katiba ikaandikwa ndani ya zaidi ya miaka mitano. He, kulikoni?

tuwe wakweli upande mwingine! Baada ya dhiki huja faraja!!! Waacheni kafu wafaidi. Wamepoteza damu kupigania haki.
chadema hawajapoteza damu hata moja ila wameua!!!!!!!!!
HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII????????????????????????????????????
 
Wewe una matatizo ya kichama kwani lazima cuf iungane na Chadema , mkaungane na UPDP na jahazi asilia
 
mkuu,maoni yako nayaunga mkono.ila nadhani umepotoka kidogo kuruhusu ushirika na nccr.hawa nao ni hatari kuliko ukoma.aliyetangaza kushitaki chadema si mbatia kama mtu binafsi bali chama.
 
Wanajamvi mnawaona cuf wanavyojiuza kama changudoa mchana kweupe?
 
Mi wananpa hasira! Nataman kuwatukana ila naogopa ban. Pumbav zao
 
sio kinyaa tu!!!! Nimepata na majibu kwanini wametuzengua kwenye ushirikiano wa Serikali ya upinzani!!!! Kisha wanasingizia eti Chadema....
Washindwe na Walegee!!!1
Kazi imeanza wasubiri muziki wao 2015:yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Mie nawashukuru Chadema kwa kuwatema CUF mapema katika kambi yao. Imejiziirisha wazi jinsi mnyaa alivyo ahidiwa ubunge wa SADC.
Nijinsi gani imeonyesha kuwa sasa CUF wanajikomba kwa CCM. Ni uchangudoa wa kutupwa wanaofanya sasa kwa CCM.
 
mkuu,maoni yako nayaunga mkono.ila nadhani umepotoka kidogo kuruhusu ushirika na nccr.hawa nao ni hatari kuliko ukoma.aliyetangaza kushitaki chadema si mbatia kama mtu binafsi bali chama.
Thanks. Yalikuwa mawazo yangu tu lakini bado naamini ushirikiano lazima uwe wa uangalifu sana!
 
Mie naona hata afadhali ya chan........
Mbunge huwezi kujirahisisha 2 that extent!!!! Inauma sana mtu kama huyo anapotokea kwa watu walioteseka chaguzi zote za nyuma!!!!:yield::yield::yield::yield::yield:
 
dUH HAPA NAONA LUGHA INawafanya wabunge wasadc washindwe kuulizwa maswali ya msingi yaan MOHD dewji anauliza sadc kuna Nchi ngani na atajiwe..Lugha utata..Huyu MNYAA ndo kajieleza ila hakupigwa swali ...huwa nafarijika kuona bunge la kenya jinsi wabunge wanavyomwaga maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…