Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?



kichuguu mapema hii ushapata ?


hapa tulikua tukisema CUF wamekataa kumbe hawajashirikishwa kila kitu Chadema wamemaliza na si CUF tu na hata vyama vyengine vyote havijashirikishwa


hivi hawa wanadhani peke yao wataweza?

na hawa wangekua wameshinda urais si pasingetosha ?
 
Nashangaa sana, nadhani aliye post hi thread hakuwa makini anasahu kuwa wale wabunge wa cuf wate wanatoka pemba, pia uwelewa wao ni mdogo sana (shule) ni wakati wa tanganyika kulielewa hilo. Nawaomba watz wate wenye mapenzi mema tukiunge Chadema mkono ili tumkomboe mtaozaoia
 
Kwanza kwa idadi ya wabunge waliopata chadema inatosha kikatiba wao kuwa kambi ya upinzani. CUF si wako na CCM? Wanataka nini tena
 

Chama pekee kilicholeta mabadiliko PEMBA au TANZANIA?
To hell with CUF aka. PEMBA PARTY
 
Uchaguzi ulipomalizika na matokeo kutangazwa wapendamaendeleo wote tulipata hamasa baada ya kuona hatua kubwa iliyopigwa na vyama vya upinzani kwa kuweza kufumbua macho ya Watanzania mjini na vijiji, bara na visiwani.

Cha kushangaza ni kwamba baada ya kuingia bungeni hawa tunaodhania kuwa ni wakombozi wetu (UPINZANI) waliotupa matumaini mapya kwa kuwa na idadi kubwa bungeni tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, WANATENGENEZA UPINZANI WA KUPINGANA WAPINZANI. Mfano mzuri tazama matokeo ya spika na kura alizopata mwakilishi wa upinzani aliyegombea. Au kuwepo na makundi mawili ya upinzani (Majority opposition & Minority Opposition)

Ndugu zangu wapinzani hatutaki kujutia kupigia kura upinzani, lakini kwa dalili hizi za mwanzoni mtakuja kusababisha kutowaamini tena.
 
Matatizo yetu bara ya msingi hayako vichwani mwa cuf ambao wengi ni wazenji, wanajua hawatakuwa na msimamo thabiti, minority opposition lengo lao kubwa ni kuwapunguza speed chadema, kitakachokuwa kinatokea itakuwa ni aibu, itakuwa rahisi zaidi wabunge waadilifu wa ccm kushirikiana na chadema kuliko minority opp kushirikiana na chadema, hata ccm wanajua hivyo, ndo maana ck za hv karibuni mtu muadilifu akitimuka kutoka ccm hataenda cuf, tlp, nccr, udp bali ataenda chadema! Ni rahisi zaidi kumlaumu mtu kuliko kujizuia kumlaumu. Ngoja mijadala ianze utaona upinzani haswa ni upi, until then let us live to see.
 
CUF waache unafiki wao, wanataka vihusishwe vyama vyote mbona wao kwenye miafaka yote waliyowahi kufanya kule zenj hawajawahi kuwashirikisha wapinzani wengine? CUF wana typical roho ya kipemba ya ubinafsi. They can go to hell. Wao wacha wafaidi makombo kwenye meza ya CCM kutokana na ndoa yao ya mkeka na chama cha mafisadi.
 
Source "Habari leo"!!! a.k.a CCM Leo. Those guys don't know anything about objective reporting (Jenerali Ulimwengu surely gave the chief editor his piece of mind on that!). The source ain't credible no more!
 
kwanza nasikia kinyaa nikiona visiwa vidogo kama vya znz ambavyo ukilinganisha vyote havilingani hata na wilaya mbili za mko wa arusha vinakuwa na utitiri wa wabunge . huu nii upupu , ingekuwa tunalinganisha wa bunge wa znz na bara huku bara tungekuwa na wabunge zaidi ya 5000. wasepe kwao watuache huku na mambo yetu .
 
Tumia habari sahihi na si maneno ya mstaarabu mkosaji Hamad, Uchaguzi wa viungozi wa upinzani unafanyika vikiwepo vyama vyote na kura anazopata mgombea ndizo kigezo, CHADEMA ina wabunge wengi zaidi ya jumla ya wabunge wa vyama vingine vya upinzani ndo sababu walishinda. So wazee wa Muafaka nafikiri wameishiwa hoja, by the way tayari wamekwishaungana na CCM, mi nafikiri watulie na mme mmoya.
 
nasi cuf tumetoa masharti ya kuungana nao ni kambi kuwa na vyama vyote na si cuf na chadema pekee," alisema hamad ambaye ni mbunge wa wawi, pemba."

mmmmmh...
BAADA YA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZNZ, C.U.F. WAMENOGEWA NA SASA WANATAKA TENA KAMBI YA UMOJA WA KIPINZANI BUNGENI. NIMEKUA NIKIWAONYA WATU KUHUSU UROHO WA MADARAKA WALIONAO CUF NA BADO NASISITIZA...............
 

CUF wao waache tamaa,wao washaungana na CCM kule Zanzibar sasa wanataka nini tena??????????? Hawa CUF ni sawa na mwanamke anayetaka kuolewa na mabwana wawili,sasa CUF wao walishaolewa na CCM hawaridhiki tu, hawafikishwi kileleni??? CUF go to hell
 
Wana JF,

Ningependa kuongea na kuhoji swali la msingi kwa uongozi wa CUF, Ukiungana na Chama tawala na kuwa ndani ya serikari ya chama tawala nadhani unapoteza hadhi ya kuwa chama cha upinzani! sasa CUF nadhani watakuwa wamepoteza status ya kuwa opposition party kwa sababu wana maslahi ya kiutendaji na ki utawala ndani ya serikari ya CCM, Na ukizingatia wabunge wake wote isipokuwa wawili wanatoka Zanzibar na wapo kwa maslahi ya zanzibar hivyo wanafanya kazi kwa maslahi ya serikari yao ya CCM na CUF hivyo hawawezi kupinga mambo yanayosimamiwa na serikari yao, ni vizuri wabunge wa CUF wakaamua either kuwa independent au ku caucus na ccm, that will make sense.

Waache kucheza michezo ya akina dada poa! kwani mtaka yote kwa pupa moja humponyoka au hukosa yote
 
Tunajua chadema wanajiamini sana na wanajiona sana. yaani wao ndo wao. Wakati bunge lililopita CUF ilikuwa na wabunge wanaokidhi kuunda serikali kivuli chadema walikuwa na wabunge 11 tu lakini CUF iliwashirikisha na tena slaa alikuwa kiongozi msaidizi kambi ya upinzani bungeni. But they see they are every thing. lakini subirini mtaona yatakayowakuta. Nakisha watayaona. Aslani. Wala hatutarudi nyuma.
 

Tatizo watu ni vigumu kukubaliana na hali halisi. CUF ni CCM vyote vinatawala. Na hivyo vyama vya NCCR na TLP sasa vimekuwa sehemu ya vyama tawala vya CCM na CUF. Chadema nidiyo chama pekee cha upinzani tulichonacho sasa. Bahati mbaya vyama hivyo vinaungana na CCM ambacho kimepigiwa kura na NEC.
 
waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alipofika Tanzania Wapinzani walijitokeza kumpokea vizuri kama Muassisi wa Orange lakini akawakumbusha kuwa yeye sio mpizani tena kwani wameungana sasa mpizani ni Kanu , hata hivyo ni kazi mgumu kwa CUF kuungana na Chadema maana sio wapinzani tena kwa kuwa katibu kakubali kuteuliwa wala sio kuchaguliwa kwa hiyo ni chaguo la CCM huko Zanzibar wala sio chagua la kiushindani
 

Ngwendu, Bunge lililopita CUF hawakuwa na wabunge wa kutosha wala aasilimia 12% kuweza kuunda kambi ya upinzani hivyo ilikuwa lazima waungane na chadema kuunda kambi ya upinzani, BUNGE LILILOPITA CUF walikuwa na wabunge 38 tu hivyo walikuwa hawatoshi kuunda official kambi ya upinzani pekee yao they needed another party kukidhi hiyo idaddi ya asilimia 12% therefore kama CUF wangekuwa na idadi kamili ya wabunge basi wangeweza kuunda kambi hiyo bila kushirikisha chadema, hata hivyo kutokuwa kwenye uongozi wa kambi ya upinzani sio kwamba upinzani wao umekoma la hasha! vile vile kushirikisha CUF wakati wao ni stakeholder na chama tawala wanaweza ku subbotage mambo muhimu bungeni kwani wamekwisha uungana na CCM, HIVYO KUWA ONBJECTIVE AND SEE THE BIG PICTURE KABLA YA KUANZA KULALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…