Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Naona kwako wewe historia inaanzia TANU kwasababu Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa kwanza, na sio TAA kwasababu huko alikuta imeisha anzishwa
Dogo usitake kupotosha.. Nyerere alikuta tayari TAA imeishaundwa, yeye alifanya kujiunga tuKijana,
Watu hao waliokuwa TAA akiwemo Nyerere ndio walianzisha TANU.Kwa umri wake alishiriki TAA na wenzie ndio kuwa na maono ya kuunda TANU,angekuwa mgeni kwenye siasa asingepewa Urais.
Ninachokisistiza ni kuwa wote wana umuhimu ila kuwa kinara na kiongozi ni riziki toka kwa Mungu.
wewe mbn ulinunuliwaSio wakimbilia Ubelgiji,hawa hakukimbia kuchumia tumbo,walimkabili mkoloni hapahapa
Ndiyo dunia mkuu.Generation ya Wapigania Uhuru ndio inazidi kupungua
Ama kwa hakika kila Nafsi itauonja umawti
Dogo usitake kupotosha.. Nyerere alikuta tayari TAA imeishaundwa, yeye alifanya kujiunga tu
Ok..sawa. naona wewe ni Nyerere gangKwani kwa sababu wewe umezaliwa miaka ya 90 hivyo sisi wazee wako tunahaki za uraia zaidi yako?kwa umri wako waweza famya makubwa kwa nchi hii na historia ikakuandika.
Soma hapa....mchango wa familia ya Sykes unatambuliwaOk..sawa. naona wewe ni Nyerere gang
Mi siongelei pongezi za CCM, mi naongelea historia ya nchi hii inavyowatambua kwa mapana na uzito unaotakiwa kama Nyerere na Kawawa. Mtu kama Kawawa anatambulika zaidi kuliko kina Sykes. Wakati ni kwasababu tu alikuwa mlamba miguu wa NyerereSoma hapa....mchango wa familia ya Sykes unatambuliwaView attachment 1787000View attachment 1787001
Mi siongelei pongezi za CCM, mi naongelea historia ya nchi hii inavyowatambua kwa mapana na uzito unaotakiwa kama Nyerere na Kawawa. Mtu kama Kawawa anatambulika zaidi kuliko kina Sykes. Wakati ni kwasababu tu alikuwa mlamba miguu wa Nyerere
Ukiolewa ndio unafungwa mdomo? Wewe ulipoolewa ulifungwa mdomo?Upo mama? Kimya sana siku hizi..au umeolewa?
Au ni Magufuli... maana kwenye utawala wote huu wa Magufuli uliufyata. Naona kaingia wa upande wetu sasaiv ni slope..Ukiolewa ndio unafungwa mdomo? Wewe ulipoolewa ulifungwa mdomo?
Mtanange unaendelea? Au nisubiri kushuhudia mtanange mwingine?Ukiolewa ndio unafungwa mdomo? Wewe ulipoolewa ulifungwa mdomo?
ndio hapo sasa!Sijaelewa. Nani kafa? Lini? Kafia wapi? Dubai? London? Mraa wa Aggrey?
Hatari na nusuAbbas Sykes aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania katika nchi mbali mbali duniani amefariki. Kwa sasa details za kifo chake hazijulikani na mipango ya mazishi inafanywa.
H.E Abbas Sykes Ambassador of the United Republic of Tanzania in Washington DC, USA who is also accredited to Mexico. In Office 1968 - 1974
H.E. Abbas K. Sykes Ambassador of the United Republic of Tanzania in Paris, France who is also accredited to Spain, Portugal, Morocco, Tunisia, Saharawi Arab Democratic Republic, and UNESCO. In Office 1974 - 1977
Mkuu,Kiranga,
Wazee wangu walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Ninachokifanya ni kueleza historia ya TAA, TANU na vipi Nyerere aliweza kuingia ndani ya chama.
Kabisa Nyerere nchi hii kafanywa kama ndiye alfa na omega. Ptuu!