TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

Kijana,

Watu hao waliokuwa TAA akiwemo Nyerere ndio walianzisha TANU.Kwa umri wake alishiriki TAA na wenzie ndio kuwa na maono ya kuunda TANU,angekuwa mgeni kwenye siasa asingepewa Urais.

Ninachokisistiza ni kuwa wote wana umuhimu ila kuwa kinara na kiongozi ni riziki toka kwa Mungu.
Naona kwako wewe historia inaanzia TANU kwasababu Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa kwanza, na sio TAA kwasababu huko alikuta imeisha anzishwa
 
Kijana,

Watu hao waliokuwa TAA akiwemo Nyerere ndio walianzisha TANU.Kwa umri wake alishiriki TAA na wenzie ndio kuwa na maono ya kuunda TANU,angekuwa mgeni kwenye siasa asingepewa Urais.

Ninachokisistiza ni kuwa wote wana umuhimu ila kuwa kinara na kiongozi ni riziki toka kwa Mungu.
Dogo usitake kupotosha.. Nyerere alikuta tayari TAA imeishaundwa, yeye alifanya kujiunga tu
 
Kwani kwa sababu wewe umezaliwa miaka ya 90 hivyo sisi wazee wako tunahaki za uraia zaidi yako?kwa umri wako waweza famya makubwa kwa nchi hii na historia ikakuandika.
Dogo usitake kupotosha.. Nyerere alikuta tayari TAA imeishaundwa, yeye alifanya kujiunga tu
 
Ok..sawa. naona wewe ni Nyerere gang
Soma hapa....mchango wa familia ya Sykes unatambuliwa
Screenshot_20210516-132343.jpeg
FB_IMG_16211607231950666.jpeg
 
Ukiwa USA Baba wa Taifa ni G.Washington, SA Baba wa Taifa ni Mandela,haimaanishi kuwa hakukuwa na watu.waliowasaidia au walionzisha mapambano kabla hawajazaliwa
Mi siongelei pongezi za CCM, mi naongelea historia ya nchi hii inavyowatambua kwa mapana na uzito unaotakiwa kama Nyerere na Kawawa. Mtu kama Kawawa anatambulika zaidi kuliko kina Sykes. Wakati ni kwasababu tu alikuwa mlamba miguu wa Nyerere
 
Sijaelewa. Nani kafa? Lini? Kafia wapi? Dubai? London? Mraa wa Aggrey?
ndio hapo sasa!

Huwezi jua nani kafa, wapi, lini, alikuwa nani. Kwa sababu tanzia ya marehemu ni bitter and lamentable life story of MUHAMMED SAID

It's always about wajomba zake wa Kongo na Mkunguni walivyonyimwa vyeo na Nyerere japo TANU imetumia sana Land Rover zao na jinsi alivyokuwa anaketi kitako kuwasikiliza Dossa Azizi na Mfume Kiate wanalalamikia mfumo kwenye kijiwe cha chai-tangawizi Aggrey na Tandamti in 1952.

Katoka mbali lakini. Gerezani kwa Mpika Supu mpaka kutafutwa na BBC kwenye simu akiwa Dubai Carlton Hotel. Lazima awe very proud of himself.

I mean, Julius Nyerere alipokufa BBC World News walimtafuta Muhammed Said, he was the go-to source and authority, awaeleze nini kimetokea, na nini kitajiri katika trajectory ya Tanzania. Thumbs up!
 
Abbas Sykes aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania katika nchi mbali mbali duniani amefariki. Kwa sasa details za kifo chake hazijulikani na mipango ya mazishi inafanywa.
H.E Abbas Sykes Ambassador of the United Republic of Tanzania in Washington DC, USA who is also accredited to Mexico. In Office 1968 - 1974
H.E. Abbas K. Sykes Ambassador of the United Republic of Tanzania in Paris, France who is also accredited to Spain, Portugal, Morocco, Tunisia, Saharawi Arab Democratic Republic, and UNESCO. In Office 1974 - 1977
Hatari na nusu
 
Kiranga,
Wazee wangu walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Ninachokifanya ni kueleza historia ya TAA, TANU na vipi Nyerere aliweza kuingia ndani ya chama.
Mkuu,

Wazee wako walifutwa na wewe unawafuta zaidi.

Leo siku ya Sykes, lakini badala ya kuandika tazia ya Sykes, umeandika kitu kimejaa Nyerere kuliko Sykes!

Yani huwezi kumuelezea Sykes ila kama akiwa kivuli cha Nyerere.

Ndiyo maana hujaelezea maisha yake, umeelezea maisha yake kwa uhusiano na Nyerere. Habari inaanza na msiba wa Nyerere. Mwisho wa habari za Sykes ulizoandika ni kwenye msiba wa Nyerere. Kama vile Sykes alikuwa mmoja wa vijakazi wa Firauni ambao Firauni akifariki huzikwa naye. Umeandika kama vile maisha ya Sykes yaliisha kwenye kifo cha Nyerere. Kumbe mtu aliendelea na utumishi wa maana sana hata baada ya Nyerere kufariki.

Yani na wewe umeingia katika mtego ule ule wa kumfanya Nyerere ndiye nguzo ya kila kitu. Kitu ambacho mara nyingi umekikataa kwa kusema kuna historia ndefu na pana haijaandikwa vizuri.

Kwa kujua au kutojua, umempunja balozi Sykes kwenye siku yake muhimu hii.
 
Ni kweli bila kumung'unya maneno hii familia ya kina Sykes haisemwi waziwazi mchango wao tukuka kwenye harakati za uhuru. Ni moja ya familia zilipaswa kupewa heshima ya juu sana hawa wangoni.
 
Nyerere amekuwa Rais wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 20...na mmoja wa viongozi wa TAA baadaye Rais wa kwanza wa TANU...na kiongozi wa nchi za mstari wa mbele kwa ukombozi wa bara la Afrika.
Kabisa Nyerere nchi hii kafanywa kama ndiye alfa na omega. Ptuu!
 
Back
Top Bottom