Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kijana,
Watu hao waliokuwa TAA akiwemo Nyerere ndio walianzisha TANU.Kwa umri wake alishiriki TAA na wenzie ndio kuwa na maono ya kuunda TANU,angekuwa mgeni kwenye siasa asingepewa Urais.
Ninachokisistiza ni kuwa wote wana umuhimu ila kuwa kinara na kiongozi ni riziki toka kwa Mungu.

Naona kwako wewe historia inaanzia TANU kwasababu Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa kwanza, na sio TAA kwasababu huko alikuta imeisha anzishwa