TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
R.I.P Balozi A. K. Sykes
===
===
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ndugu wa baba yake Dully. Baba ake Dully alikua mtumia ngada na alikua msanii. Alishafariki lakini.Huyu ndo babake Abdul Sykes aka Dully Sykes?
Ndugu yangu Mohamed Said,umeweka simulizi nzuri lakini mara zote kama kawaida moyo wako haukubali kama Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU, Tanganyika,Tanzania na CCM.Unaamini kuwa kuna watu wako walistahili,ulitamani leo Hamza (RIP) na Abdul (RIP) ndio wawe wenye kuelezea historia ya nchi hii,unaamini Julius hajui historia ya nchi hii.Ni dhahiri moyo wako unatoa machozi kwani historia haiko kama unavyotaka.Uongozi ni riziki itokayo kwa Mola!
Kuandika ni sanaa na siku zote sanaa haina kanuniMuhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Ubaguzi unatoka kwa nani kwenda kwa nani.Binafsi nilikuwa sijui km huyu mzee kafariki, nilikuwa naperuzi facebook ndio nikaona post ikisema mzee Sykes ataswaliwa masjid Maamur na kuzikwa kisutu..
Yaani vyombo vya habari vinaandika kwa urefu habari za Sabaya ambaye alikuwa anaongoza wilaya moja tu Tanzania lakini mtu na familia nzima walijitoa katika kuipigania nchi hii uhuru wake ht gazeti moja kumpa front page kuwa mpigania uhuru katutoka hii si sawa.
Sijasikia katika tv,redio japo kutoa taarifa ya wasifu wake katika pumzi yake ya mwisho kuelekea ahera.
Ama kweli Tanzania inaubaguzi mno kwa baadhi ya mambo.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake na amweke mahali pema peponi.
Si uandike wewe ujuavyo? Unataka kila aandikae aandike utakavyo wewe? Unanshangaza!Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Huna jipya wewe.Kumbe alishaanzishsa uzi.
Husda,chuki,wivu na roho ya nyongo tuh imekujaa,huna lolote...
Kama ww unajua basi andika tanzia au eleza unayoyafam km anavyoelezea Mohamed Said Ili tuone uhalisia wa hicho unachokisema,dini yake ww inakuchoma choma kwanin?wewe pia si unayo dini yako?unaongea ujinga ujinga kama mwanamke unaetafuta ndoa kwa nguvu jamaa,
Mkoloni mweupe hakuwa anawapiga Risasi kwenye Viwanja vya Bunge Mkoloni mweusi ndio Hatari zaidi lakini atang'oka tuSio wakimbilia Ubelgiji,hawa hakukimbia kuchumia tumbo,walimkabili mkoloni hapahapa
Wapi nimetaja "wenzie" ?Wenzie hao kina nan??
Huyu ndo babake Abdul Sykes aka Dully Sykes?
Kishindo,Nilikuwa Dubai, nilipigiwa simu na BBC kutaka kunihoji hapohapo nilikuwa Tanga nikifuatilia katika TV......
Visa vya kutunga tunga vina shida zake
Kwameh,Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC kuhusu maisha na kifo cha Nyerere
Aya ya tatu kitabu chako WEWE kuhusu historia ya TANU na maisha ya Gerezani na Kariakoo
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Sweet tablet,Aah, wapi! Huyo Mohamed Said huwa anajua historian ya watu wasizidi kumi; Abbas na Abdul Sykes, Dosa Aziz, Bibi Titi, Rupia na wengine wachache. Na hao wote ni wa Kariakoo mitaa ya Aggrey na Tandamti! Hajui kingine chochote zaidi ya hiyo mitaa!!!
Nnangale,Poleni wote na hasa bint yao Daissy.