Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Mzee wangu nimepitia maoni ya watu wengi nikiwemo mimi (post #37) na wengi tuna shauku ya kuifahamu hiyo sheria inayo wamilikisha kikundi fulani (islamic) kuwa hili eneo ni la kwao na inabidi katiba isifuatwe bali yafuatwe matakwa ya dini yao.

Naomba utupatie hiyo elimu
 
Hui...
Nimewasilisha mada nzima Kenyatta University kuhusu sakata la kuvunjwa kwa mabucha ya nguruwe.

Mimi ukiniulliza kwa nini hili lilitokea nitakwambia kuwa serikali ililishughulikia vibaya tatizo hili.

Watendaji walikosa busara.
Mbona waislamu wenyewe kibao wanakunywa pombe na kula kitimoto

Mikoa ya Pwani ambako waislamu wengi wanakula nguruwe pori kama kawa na ndio wauzaji.

Nenda vijijini mikoa ya Pwani uone wanavyotandika pombe na kula nguruwe pori
 
Huyu mwanahistoria sijawahi kuona akiandika makala inayohusu chochote bila kuingiza uislam.

Imefika hatua unajua yaliyomo yanahusu uislam hata kama kichwa kiko tofauti.

Anyway endelea kupambania uislam wako maana sijawahi ona ukiandika mazuri ya wala kitimoto maana ni kama hawana jema hata moja.
Pamoja na dada yake FaizaFoxy
 
KII,
Mimi utaalamu wangu uko katika historia ya Uislam.
Hii ndiyo sababu kila unaposoma utawasoma.

Labda ungeniuliza kwa nini nimesoma somo hili?
Sababu ni kuwa wanahistoria wetu walipuuza historia ya Waislam kiasi yote ilifutika.

Mimi nikaamua kutafiti na kuiandika.
Ikiwa wewe unakereka na hili acha tu kusoma post zangu.
Kwani ww ni muarabu?,kwasababu ninavyojua mm uislam ni mila za waarabu...
 
kama mabucha 🐷🐷yapo kati ya makazi ya waislamu wengi na yanauza nini tafsiri yake? Wateja walikuwepo, maana wasingekuwepo yangefilisika. Kama wakazi wengi ni waislamu na ngurue anaisha nani ananunua 🤣 🤣 🤣 🤣
Kipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto huwa inadoda mno .Mfungo wa Ramadhani ukiisha kitimoto mauzo huwa juu mno.Muulize muuza kitimoto yeyote atakwambia

Kwa hiyo hapo waweza jua wala kitimoto wakubwa ni waislamu ndio maana wakifunga Ramadhani biashara ya kitimoto inadoda
 
[emoji16][emoji16] wewe ilitakiwa uvae mabomu uwe unajilipua tu,usomi wako hua Ni hewa tu.
Hv hujagundua kuwa wasomi Tanzania wa Kiislamu ndio wanakuwa extremists na wabaguzi wa dini nyingine. Nimekaa Uarabuni yani wasomi wa Uarabuni ndio wanakuwa civilized na kuelewa kuwa dini isiwe mzigo kwa mwanadamu. [emoji51][emoji51][emoji51]Yani Bongo watu wasio na elimu ndio watu hawasumbuki na dini kabisa.
Hii ya extrême kwa wasomi ipo hata kwa wakristu. Yani elimu yetu haitusaidii
 
Kipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto huwa inadoda mno .Mfungo wa Ramadhani ukiisha kitimoto mauzo huwa juu mno.Muulize muuza kitimoto yeyote anakwambia

Kwa hiyo hapo waweza jua wala kitimoto wakubwa ni waislamu ndio maana wakifunga biashara inadoda
Hilo nalijua mkuu 😅 😅 😅 Na jamaa zangu kibao nawafahamu watumiaji wazuri tu wa kitimoto
 
Kwa nini waislamu wa Leo hamvunji mabucha ya nguruwe ilhali yapo kwenye makazi yenu?

Halafu huwa unaona ufahari sana kuelezea habari za safari zako za Ulaya tu why not Pakistan,Syria, Palestine,Oman etc?
Waislamu wa ajabu

Kikiwabana cha kuwabana au wakiwa wanauana wenyewe kwa wenyewe hukimbilia Ulaya na Marekani kwa Wakristo hawakimbilii nchi za kiislamu au maeneo ya waislamu kama Makka au Madina au Iran nk wanakotiririka Aya za kurani za mtume Mohamed!!!
 
Hupelekwa imeshachinjwa na boti za usiku kwa usiku
Halafu nguruwe huchinjwa bila dua yeyote!!! Waislamu hula.Baadaye utasikia kelele ohhh nyama inatakiwa ichinjwe na shehe na apige dua !!!! Hapo ndipo inakuwa halal meat!!!

Kitimoto hakuna dua nguruwe aweza kupigwa Rungu tu kichwani akikata roho watu wanaanza kukata nyama
 
Mzee makala yako ni ndefu lakini haujatueleza "USOMI" wa Hassani Chikusa kwamba alikuwa na elimu gani ya juu? ya dini au circular, ila maelezo yako yameegemea kwenye harakari za waislamu kuvunja mabucha na kupambana na polisi
Einstein,
Namna yangu ya uandishi ni tofauti sana.

Huenda kwenye mambo yanayoeleza hali za nyakati.

Ningeandika vinginevyo taazia hii isingechemsha watu kama unavyoona.

Nimeeleza tukio la mabucha na msimamo wa serikali na vipi Waislam walivyosimama kuikabili serikali.

Nimewaleta BBC, wahariri wa magazeti na jinsi viongozi wa nchi kuanzia Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na Katibu wa CCM walivyolishughulia tatizo la mabucha.

Yako mengi.

Lakini nia yangu ni kukutaka wewe msomaji uhiangaishe akili yako na hivyo kuwapima hawa viongozi.

Viongozi walitupa lawama kwengine na kusema kuwa waliovunja mabucha nia yao ilikuwa kupindua serikali.

Je, huoni kuwa hapo yapo mengi ya kujifunza?
 
Back
Top Bottom