mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 391
- 896
Mbona magomeni hadi manzese bar ziko kibao na kitimoto kinauzwa sehemu kibao magomeni,manzese na kinondoniNenda kaweke bucha lako uone km manispaa itakupa kibali,
Mbona waislamu wenyewe kibao wanakunywa pombe na kula kitimotoHui...
Nimewasilisha mada nzima Kenyatta University kuhusu sakata la kuvunjwa kwa mabucha ya nguruwe.
Mimi ukiniulliza kwa nini hili lilitokea nitakwambia kuwa serikali ililishughulikia vibaya tatizo hili.
Watendaji walikosa busara.
Mzee muhuni mtoto wa mjini hakwenda alikuwa kajichimbia mitaa ya gerezani kwenye gheto la akina sykes akamuingiza chaka kijana w watuJe na wewe ulishiriki katika hiyo Shura kwa Mtoro kama ulivyomuahidi Chikusa?
Kiko kibaoYaani Leo hii nikifika Mnzese au Magomeni sipati Kitimoto?
Pamoja na dada yake FaizaFoxyHuyu mwanahistoria sijawahi kuona akiandika makala inayohusu chochote bila kuingiza uislam.
Imefika hatua unajua yaliyomo yanahusu uislam hata kama kichwa kiko tofauti.
Anyway endelea kupambania uislam wako maana sijawahi ona ukiandika mazuri ya wala kitimoto maana ni kama hawana jema hata moja.
Kwani ww ni muarabu?,kwasababu ninavyojua mm uislam ni mila za waarabu...KII,
Mimi utaalamu wangu uko katika historia ya Uislam.
Hii ndiyo sababu kila unaposoma utawasoma.
Labda ungeniuliza kwa nini nimesoma somo hili?
Sababu ni kuwa wanahistoria wetu walipuuza historia ya Waislam kiasi yote ilifutika.
Mimi nikaamua kutafiti na kuiandika.
Ikiwa wewe unakereka na hili acha tu kusoma post zangu.
Kipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto huwa inadoda mno .Mfungo wa Ramadhani ukiisha kitimoto mauzo huwa juu mno.Muulize muuza kitimoto yeyote atakwambiakama mabucha 🐷🐷yapo kati ya makazi ya waislamu wengi na yanauza nini tafsiri yake? Wateja walikuwepo, maana wasingekuwepo yangefilisika. Kama wakazi wengi ni waislamu na ngurue anaisha nani ananunua 🤣 🤣 🤣 🤣
Hv hujagundua kuwa wasomi Tanzania wa Kiislamu ndio wanakuwa extremists na wabaguzi wa dini nyingine. Nimekaa Uarabuni yani wasomi wa Uarabuni ndio wanakuwa civilized na kuelewa kuwa dini isiwe mzigo kwa mwanadamu. [emoji51][emoji51][emoji51]Yani Bongo watu wasio na elimu ndio watu hawasumbuki na dini kabisa.[emoji16][emoji16] wewe ilitakiwa uvae mabomu uwe unajilipua tu,usomi wako hua Ni hewa tu.
Hilo nalijua mkuu 😅 😅 😅 Na jamaa zangu kibao nawafahamu watumiaji wazuri tu wa kitimotoKipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto huwa inadoda mno .Mfungo wa Ramadhani ukiisha kitimoto mauzo huwa juu mno.Muulize muuza kitimoto yeyote anakwambia
Kwa hiyo hapo waweza jua wala kitimoto wakubwa ni waislamu ndio maana wakifunga biashara inadoda
Waislamu wa ajabuKwa nini waislamu wa Leo hamvunji mabucha ya nguruwe ilhali yapo kwenye makazi yenu?
Halafu huwa unaona ufahari sana kuelezea habari za safari zako za Ulaya tu why not Pakistan,Syria, Palestine,Oman etc?
Maeneo yenye waislamu wengi kitimoto huisha mapema sana mfano Zanzibarkama mabucha 🐷🐷yapo kati ya makazi ya waislamu wengi na yanauza nini tafsiri yake? Wateja walikuwepo, maana wasingekuwepo yangefilisika. Kama wakazi wengi ni waislamu na ngurue anaisha nani ananunua 🤣 🤣 🤣 🤣
Hupelekwa imeshachinjwa na boti za usiku kwa usikuMaeneo yenye waislamu wengi kitimoto huisha mapema sana mfano Zanzibar
Halafu nguruwe huchinjwa bila dua yeyote!!! Waislamu hula.Baadaye utasikia kelele ohhh nyama inatakiwa ichinjwe na shehe na apige dua !!!! Hapo ndipo inakuwa halal meat!!!Hupelekwa imeshachinjwa na boti za usiku kwa usiku
Einstein,Mzee makala yako ni ndefu lakini haujatueleza "USOMI" wa Hassani Chikusa kwamba alikuwa na elimu gani ya juu? ya dini au circular, ila maelezo yako yameegemea kwenye harakari za waislamu kuvunja mabucha na kupambana na polisi