Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi.

Back to the point. Mimi nimezaliwa katika familia ya kiislamu but i am regretting to tell all christians and muslims wherever they are that religion is an opium of poor people..

Mwenyezi Mungu hana dini wala hatambui dini yoyote.

Mambo ya dini ni ujinga wetu tu wa hapa duniani.

Ona kama hiyo ishu ya watu kupoteza maisha mwembechai mwaka 98.

People were killed over bullshit
Mungu akubariki kwa kupata fahamu hizo, Dini ni mtego sana kwa wengi hasa huku kwetu Afrika... kuna vitu mtu anaandika mpaka unashangaa uwezo wa fikra zake kichwani.

Mleta uzi, nilimjua kwa mada zake za historia hazikua na dini ila badae nikaja kujua ni mfia dini.

Too bad, ila tuendelee kupendana bila kujali dini, mm nikishamjua mtu ni mfia dini najaribu sana kumkwepa kwenye mada hizo.
 
Daah moyo wangu huumia sana napopata historia juu ya maonevu wanayoyapitia waislamu hapa nchini.Ndani ya Tanzania waislamu ndiyo jamii pekeee iliyoumizwa Mara nyingi zaidi huku wakiwa dhariri na hakuna wa kuwatetea.
Wameumizwa kwa kuvunja mabucha?? Dini haitowapeleka huko mbinguni.

Hivi Islamic mna nati zote kichwani??
 
[emoji106][emoji120]
K11
Hii ndiyo ilm niloyosomea na kutafiti.

Sababu ya kuamua kusoma historia ya Waislam Tanganyika ni pale nilipogundua kuwa palikuwa na njama ya kuwafuta Waislam na mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Lakini ikiwa wewe hupendezwi na historia hii huna sababu ya kunisoma.

Huu uwanja uko huru.

Unasoma na kuandika ukipendacho hulazimishwi kufanya kinachokuudhi.
 
Mnafiki huyu. Hakushiriki. Mbona hakukamatwa na kupigwa virungu
Nyanku...
Uko huru kuamini kama akili yako inavyokuelekeza.

Katika umma ule polisi wasingeweza kukamata watu wote wale.

Baada ya maandamano yale nilirejea Msikiti wa Mtoro nikakuta FFU wametanda njia zote kuelekea msikitini.

Sijapata katika maisha yangu kuitwa mnafiki na Waislam.

Hadi hivi tunapojadili hapa nimeshatunukiwa mara mbili na Waislam kwa kuhifadhi historia ya Tanganyika.

Hapa JF halikadhalika nimepokea tuzo.

Nimeshaalikwa na vijana wa Kiislam wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (MSAUD), Sokoine University of Agriculture (SUA) na Zanzibar University kutoa mhadhara.

Hivi ndivyo nilivyotumia ujana wangu katika kutafuta haki na kuandika historia ya kweli ya nchi yangu.
 
Uislamu wako ni wa siasa kali ambao hata waislamu moderate wanaupiga vita. Kila nikikusoma nakuona unafanana na wale Muslim Brotherhood wasiotakiwa Misri.
 
Uislamu wako ni wa siasa kali ambao hata waislamu moderate wanaupiga vita. Kila nikikusoma nakuona unafanana na wale Muslim Brotherhood wasiotakiwa Misri.
Hui...
Ikhtilafu ni silka yetu binadamu.
Muslim Brotherhood ''Ikhwan,'' hawatakiwi na nani Misri?

1658984344473.png

Azhar Shariff, Misri 1991
 
Mnafiki huyu. Hakushiriki. Mbona hakukamatwa na kupigwa virungu
Huyu mzee ndio kazi yake hiyo kuchochea watu wafanye vurugu kisha yeye anatoroka nawaacha wapigwe virungu wakati yeye yupo kimboka ana kula mbususu.

Mzee njanja janja sana..ndicho anacho kifanya hata humu kueneza propaganda za chuki na utengeno.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yani Mzee mwinyi huyu alilalamika kwa kuvunjwa mabucha ya nyama za nguruwee....?inna rilah waina irrah rajuni.
 
Huu uzi umekuwa kama ule wenye title "uzi wa kucomment na kuandika chochote"

Hakuna maswali yanajibu ila kila mtu yuko kuandika vitu vyake.

Mzee Mohamed Said umetuangusha sana
 
Hii comment yako imekuacha uchi wa mnyama. Hizo vurugu zenu zingetokea miaka hii sipati picha hicho kipigo ambacho mngepata huku wengine wakipewa kesi zisizokuwa na dhamana.
Mama...
Intellect zetu zimepishana sana.

Nasoma na naona tofauti kubwa katika uelewa wa tatizo lililopo nchini.

Hapa naona mathalan unavyo jaribu kunitisha kwa vipigo na vifungo.

Nilifanya mhadhara kama huu University of Iowa na hadhira ile ilijitahidi sana kueleza hali ya Tanzania kwa kutumia takwimu na mifano mingine.

Hadi namaliza mhadhara nilikuwa naongoza kwa kutoa "facts" na rejea.

Nini kilitokea?

Mkuu wa Idara ya African History Northwestern University Prof. Jonathan Glassman alinialika chuoni kwake nikazungumze.

Baada ya mhadhara Northwestern University Prof. Glassman alinishukuru kwa kuwapa elimu ambayo hawakuwanayo.

Tuna safari ndefu sana.
 
Huu uzi umekuwa kama ule wenye title "uzi wa kucomment na kuandika chochote"

Hakuna maswali yanajibu ila kila mtu yuko kuandika vitu vyake.

Mzee Mohamed Said umetuangusha sana
Machine...
Bahati mbaya unategemea majibu kutoka kwangu yatakayo kufurahisha.

Ingekuwa wewe mkweli ningekusoma ukiwaomba wachangiaji wawe wastaarabu.

Umekuwa kimya kwa hilo.
 
Mama...
Intellect zetu zimepishana sana.

Nasoma na naona tofauti kubwa katika uelewa wa tatizo lililopo nchini.

Hapa naona mathalan unavyo jaribu kunitisha kwa vipigo na vifungo.

Nilifanya mhadhara kama huu University of Iowa na hadhira ile ilijitahidi sana kueleza hali ya Tanzania kwa kutumia takwimu na mifano mingine.

Hadi namaliza mhadhara nilikuwa naongoza kwa kutoa "facts" na rejea.

Nini kilitokea?

Mkuu wa Idara ya African History Northwestern University Prof. Jonathan Glassman alinialika chuoni kwake nikazungumze.

Baada ya mhadhara Northwestern University Prof. Glassman alinishukuru kwa kuwapa elimu ambayo hawakuwanayo.

Tuna safari ndefu sana.
Ulijuaje unaongoza kwa kutoa facts? Mzee acha ukanjanja. Tutaamini vipi hizi story zako zisizoisha?
 
Ungekuwa mwarabu sijui ingekuwaje na uislamu wako huo. hapo mmatumbi na ngozi nyeusi na nywele kipilipili lakini ni balaa.
Waislamu mlideka sana kipindicha Mwinyi
Ungetaja na Parokia yako ingefaa zaidi. Walau ungekumbukwa kwenye mgao wa nyama ya nguruwe
 
Ulijuaje unaongoza kwa kutoa facts? Mzee acha ukanjanja. Tutaamini vipi hizi story zako zisizoisha?
Huyo mzee ni muhuni kama wahuni wengine ambao wamepata kuzeeka.

Hanaga point zaidi ya kujisifia mara university mara radio voa..mara kaenda london.

Chaajabu anakimbilia kwa hao anaowapondea huwezi sikia anajisifia kwenda hata irani kuropoka ujinga.

Mzee wa hovyo huyu..ana taka kupandikiza chuki miongoni mwa watanzania kwa hoja zake za chochezi na uzushi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii comment yako imekuacha uchi wa mnyama. Hizo vurugu zenu zingetokea miaka hii sipati picha hicho kipigo ambacho mngepata huku wengine wakipewa kesi zisizokuwa na dhamana.

Ulijuaje unaongoza kwa kutoa facts? Mzee acha ukanjanja. Tutaamini vipi hizi story zako zisizoisha?
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  6. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
  7. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
  8. Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
  9. Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
  10. Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
  11. The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
  12. Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
  13. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  14. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  15. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  16. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  17. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  18. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  19. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  20. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  21. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  22. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  23. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  24. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  25. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

1659000518586.jpeg

Library of Congress, Washington DC
 
Huyo mzee ni muhuni kama wahuni wengine ambao wamepata kuzeeka.

Hanaga point zaidi ya kujisifia mara university mara radio voa..mara kaenda london.

Chaajabu anakimbilia kwa hao anaowapondea huwezi sikia anajisifia kwenda hata irani kuropoka ujinga.

Mzee wa hovyo huyu..ana taka kupandikiza chuki miongoni mwa watanzania kwa hoja zake za chochezi na uzushi.

#MaendeleoHayanaChama
1659000926330.png

Tehran Iran, 2006

Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Switzerland, Holland, Marekani.

1659001257072.jpeg

London, 1991
 
Back
Top Bottom