Hizo asilimia huwa mnazitoa wapi. nchi hii umezungukua kweli?. pwani ina waislam wengi ila bara asilimia 90 ni wakristu kuna miaka nilikua na project Nyanda za juu kusini na maeneo mbalimbali nchini hasa vijijini sikuwahi ona hata msikiti achilia mbali kina Abdul achilia mbali makanisa vijiji vingine hayapo ila ni kina john. Kilimanjaro tu ina shule nyingi kuzidi dar unakuja iringa huko bukoba mbeya mwanza mashule kibao mixa vyuo na taasisi za afya za kumwaga leo hii hio 71% inatokea wapi huku tu nilipo yupo mwislam mmoja ndio ana nursery na jumuiya kama mbili ndio zina shule mkoa mzima!! Ila kuna watu mkoa huu huu wanashule kubwa kuzidi hizo za jumuiya ya kiislam zikiunganisha maana huku hampo kabisa. Umekulia magomeni manzese angalia watoto kama wameenda shule hata kiwango cha ustaarabu na maisha ya kila siku??. Wala hakuna hujuma lamsingi somesheni familia zenu wenzenu wakianzisha makanisa pesa ziitwazo sadaka huenda kujenga mashule, mahospital, vyuo. Juzi mmezindua msikiti wa billion tano pale bukoba kama sijakosea figa ya hio pesa. hio hela Ina jenga chuo kikubwa sana na watoto wetu kwa pamoja wangesoma sipingi ujenzi ila naonesha utofauti asilimia kubwa palipo na kanisa hatua chache kuna shule mifano ipo au niitaje?? Hata ukija kwene umiliki wa shule kitaasisi kanisa linaongoza kuliko mtu yoyote!!! We mwenyewe umesoma shule ya kanisa unabisha !!! huenda kuna watu binafsi wanashule nyingi kuizidi ile jumuiya ya yule mtu wa kigoma bwana ponda. Taja vyuo kumi na tano vya waislam mimi nikutajie vyuo 500 vya wakristu au nitajie shule 30 za bakwata mimi nikutajie shule 200 za ROman catholic. Tumekua na ofisi za masuala ya project na uhasibu nayajua haya taasisi kibao za kikristu zinakuja kutengenesa project za kuomba msaada wa fedha ughaibuni ili kujenga shule, vyuo mahospital ila upande wa pili kikubwa niliona kuna jamaa aliletaga mradi wa visima napo ni miaka 5 nyuma. Napo useme wenzio wanabebwa kaa chini anzeni kuandika massive project za mavyuo mashule mahospital sio kuja za na project na visima Mbona mambo yapo wazi mzee hizo nazaria zako dunia ya leo hazipo hizo hujuma hazipo huko nacte kuna waislam kibao leo hii wawagandamize wenzao kweli??? Acheni chuki kwa mafanikio ya wenzenu embu igeni mjipange kikwete aliejenga shule nchi nzima ili kila mtu asome afu kuna watu msisome mlete lawama hapana hata raisi ni upande wenu waziri mkuu wana uwezo wa kupeleka watu nacte ila mwisho wa siku ukweli ni kwamba kwene elimu mpo nyuma mnahitajika kujipanga pwani ni yenu vyuoni wamejaa wakristu hujiskii vibaya. Uyo jamaa aliekufa apumzike tu chamsingi yakuambiwa changanya na yakwako mnaandamana wote wengine wanaanza kubaki humo humo mitaani kariakoo wengine mnazi wengine posta huenda hata wewe uliingia mitini mtaa wa likoma au aggrey kama ulijitahidi kuzuga zuga basi uliishia mnazi mmoja. Maandamano yakaisha jamaa akabaki anatahabika peke yake huku wewe ukiuza nakala zako kwene matukio yene maumivu kwa wenzio. sasa bucha imekosa nini?? Kitimoto huli, huuzi, huchinji, hununui, sio chako afu uende ukaaribu aloooo huku nilipo wangefanya hivyo basi historia ya genocide ingeandikwa wala sikufichi.