Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Extremism kwenye dini yoyote ile siyo nzuri kabisa. Huko India wahindu wanaabudu ng'ombe. Extremist wa kihindu wanaua na kuwatesa waislamu wanaokula ng'ombe.

Huku waislamu wanavunjia watu mabucha yao. Mara kule wale hivi. Extremism hukua polepole. Watavunja mabucha, watavunja baa, viwanda vya bia, benki zinazotoza riba nk nk.
Na yote hayo hata hapa Tanzania yatatokea, maana kwasasa hayafanyiki kwasababu kwanza hawajawahi na nguvu kubwa na pili hawajajua Kama Ni wengi sana.

Na ndio maana huwa wanalazimisha kwenye Sensa kiwekwe kipengele cha dini ili wajue wako wangapi. Siku waislamu wakijua wako wengi nchi hii amani haitakuwepo.
 
Siku hii ya Jumapili yaani Easter Sunday mimi ndiyo niliingia Dar es Salaam nikitokea Le Havre, Ufaransa nikaja Paris kwa muda wa siku mbili kisha nikaenda London kisha Cardiff na kurejea London kupanda ndege kurudi Dar es Salaam.
Hapo mzee ametumia sanaa ya uandishi kunogesha😀😀
 
Kwahili walikosea sana..hapa ndio mana huwa nashindwa kuwaelewa hawa waumini wa dini hii...hupenda sana chokochoko na kulialia wanaonewa.

Wanapenda kukuza vitu vidogo sana visivyo hata na maana.

#MaendeleoHayanaChama
Mzee Mwinyi anabusara sana, watu wengi hawajui jina la Mzee ruksa alipewa kupitia tukio hili pale alipohutubia Taifa na kusema ni ruksa kila mtu kula anachotaka siyo nguruwe tu hata ukitaka kula chura mi ruksa. Hapo ndipo alipoanza kuitwa mzee ruksa
 
Mrs Lissu,
Sababu ziko nyingi.
Kuna tatizo la umasikini wa Waislam.

Hapa utauliza kwa nini Waislam ni masikini?

Waislam wamebanwa katika fursa za nchi hasa elimu.

Ukiwa huna elimu huwezi kushindana katika kuajiriwa.

Kwa nini Waislam hawana elimu kuna hujuma dhidi yao toka uhuru.

Mgao wa serikali ni 20:80.
Mzee wangu kuna taarifa zilisambaa siku ile aliyokamatwa imam mkuu wa msikiti wa Mtoro sheikh Kassim kwamba alikamatwa Arusha guest na chumbani kuna kijana wa kiume je kuna ukweli wa hizi taarifa au zilikuwa propaganda za wakati ule kumchafuwa sheikh wetu?
 
Matola,
Sheikh Kassim alikuwa amevuka mto siku za mwisho wa maisha yake.

Alikuwa ameamua kupambana na mfumo uliomjenga na kumfikisha pale alipofika.

Wao wakaamua kulipiza kisasi.
Nina paper nilitoa Kenyatta University, Nairobi mwaka wa 2006.

Nakuwekea link usome In Shaa Allah.

Sheikh Kassim alikuwa mgonjwa anakwenda kwenye matibabu Nairobi na yule kijana alikuwa anamsindikiza.

Wote hawa nikiwafahamu.
 
Mzee wangu kuna taarifa zilisambaa siku ile aliyokamatwa imam mkuu wa msikiti wa Mtoro sheikh Kassim kwamba alikamatwa Arusha guest na chumbani kuna kijana wa kiume je kuna ukweli wa hizi taarifa au zilikuwa propaganda za wakati ule kumchafuwa sheikh wetu?
 
Mrs Lissu,
Sababu ziko nyingi.
Kuna tatizo la umasikini wa Waislam.

Hapa utauliza kwa nini Waislam ni masikini?

Waislam wamebanwa katika fursa za nchi hasa elimu.

Ukiwa huna elimu huwezi kushindana katika kuajiriwa.

Kwa nini Waislam hawana elimu kuna hujuma dhidi yao toka uhuru.

Mgao wa serikali ni 20:80.
Wakati watoto wa wakristu wakienda nursery nyie mnawapeleka madrasa mnasema hiyo ndo elimu muhimu zaidi .leo hii unalalamika mnabanwa kwenye elimu...how mnabanwa .huo mgao nadhan sio upandr wa elimu maana tumesoma na waislam darasa moja hakukua na ubaguzi
 
Mrs. Lissu,
Kumpeleka mtoto madrasa hakumfanyi asiende shule.

Jibu la swali lako la kwanza nimekupa.
Tuendelee kutokea pale.
 
Zanzibar imedumaa sana kwa elimu dunia wao wazazi wanagharamia sana elimu ahera na wamesahau kuwa wanapaswa kuwa na elimu zote mbili ili kumudu mahitaji yote duniani na ahera

Wakriato wengi wanawekeza kwenye elimu japo elimu yenyewe ni outdated lakini wanawekeza watoto wao ndio maana matatizo ya mirathi ni kidogo kuliko zanzibar niwaombe waislamu kwa hili si la mtama vyote wa pupa bali ni kwa uhitaji wa dunia
 
Mrs Lissu,
Sababu ziko nyingi.
Kuna tatizo la umasikini wa Waislam.

Hapa utauliza kwa nini Waislam ni masikini?

Waislam wamebanwa katika fursa za nchi hasa elimu.

Ukiwa huna elimu huwezi kushindana katika kuajiriwa.

Kwa nini Waislam hawana elimu kuna hujuma dhidi yao toka uhuru.

Mgao wa serikali ni 20:80.
huu sio ukweli
 
Mzee huwa anakwepa maswali ambayo hawezi yajibu kwakuwa ukweli uko wazi anaanza kuleta link na sababu zisizo na mashiko.

Chamsingi aelewe hii nchi ni ya wote wenye kupambana na watafanikiwa bila kujari dini wala itikadi.

#MaendeleoHayanaChama
 
huu sio ukweli
Ed...
Nakuwekea mfano mmoja tu wa hujuma ninayo mingi lakini huu mimi nilishughulika na kuwashirikisha watafiti wengine nje ya nchi wanisaidie kutafuta tatizo:

Soma hapo chini yaliyotokea mwaka wa 1999 na Kitwana Kondo akalifikisha Bungeni:

''Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.''

Wataalamu wa elimu niliowaeleza matokeo haya walishindwa kupata jibu la kisayansi na waliniuliza maswal mengi na mwisho walisema wangependa kupata taarifa zaidi na wako tayari kuja Tanzania kwa utafiti zaidi.

Afisa aliyekuwa kinisaidia katika hili nilipomweleza akanishauri tusitishe hili zoezi.
Mimi sikuchoka nikawaomba hawa wataalamu wanipe jibu moja wanalodhani kuwa linaweza kusabisha matokea yale.

Wote walisema, ''Hujuma.''
 
Mzee wangu uliweza vipi kugunduwa dini za hawa wahitimu? Usije kusema ni majina yao utakuwa huna hoja ndio maana hao jamaa zako wa nje walikushauri kuachana na hiyo project
 
Ed...
Nakuwekea mfano mmoja tu wa hujuma ninayo mingi lakini huu mimi nilishughulika na kuwashirikisha watafiti wengine nje ya nchi wanisaidie kutafuta tatizo:

Soma hapo chini yaliyotokea mwaka wa 1999 na Kitwana Kondo akalifikisha Bungeni:

''Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.''

Wataalamu wa elimu niliowaeleza matokeo haya walishindwa kupata jibu la kisayansi na waliniuliza maswal mengi na mwisho walisema wangependa kupata taarifa zaidi na wako tayari kuja Tanzania kwa utafiti zaidi.

Afisa aliyekuwa kinisaidia katika hili nilipomweleza akanishauri tusitishe hili zoezi.
Mimi sikuchoka nikawaomba hawa wataalamu wanipe jibu moja wanalodhani kuwa linaweza kusabisha matokea yale.

Wote walisema, ''Hujuma.''

Hizo asilimia huwa mnazitoa wapi. nchi hii umezungukua kweli?. pwani ina waislam wengi ila bara asilimia 90 ni wakristu kuna miaka nilikua na project Nyanda za juu kusini na maeneo mbalimbali nchini hasa vijijini sikuwahi ona hata msikiti achilia mbali kina Abdul achilia mbali makanisa vijiji vingine hayapo ila ni kina john. Kilimanjaro tu ina shule nyingi kuzidi dar unakuja iringa huko bukoba mbeya mwanza mashule kibao mixa vyuo na taasisi za afya za kumwaga leo hii hio 71% inatokea wapi huku tu nilipo yupo mwislam mmoja ndio ana nursery na jumuiya kama mbili ndio zina shule mkoa mzima!! Ila kuna watu mkoa huu huu wanashule kubwa kuzidi hizo za jumuiya ya kiislam zikiunganisha maana huku hampo kabisa. Umekulia magomeni manzese angalia watoto kama wameenda shule hata kiwango cha ustaarabu na maisha ya kila siku??. Wala hakuna hujuma lamsingi somesheni familia zenu wenzenu wakianzisha makanisa pesa ziitwazo sadaka huenda kujenga mashule, mahospital, vyuo. Juzi mmezindua msikiti wa billion tano pale bukoba kama sijakosea figa ya hio pesa. hio hela Ina jenga chuo kikubwa sana na watoto wetu kwa pamoja wangesoma sipingi ujenzi ila naonesha utofauti asilimia kubwa palipo na kanisa hatua chache kuna shule mifano ipo au niitaje?? Hata ukija kwene umiliki wa shule kitaasisi kanisa linaongoza kuliko mtu yoyote!!! We mwenyewe umesoma shule ya kanisa unabisha !!! huenda kuna watu binafsi wanashule nyingi kuizidi ile jumuiya ya yule mtu wa kigoma bwana ponda. Taja vyuo kumi na tano vya waislam mimi nikutajie vyuo 500 vya wakristu au nitajie shule 30 za bakwata mimi nikutajie shule 200 za ROman catholic. Tumekua na ofisi za masuala ya project na uhasibu nayajua haya taasisi kibao za kikristu zinakuja kutengenesa project za kuomba msaada wa fedha ughaibuni ili kujenga shule, vyuo mahospital ila upande wa pili kikubwa niliona kuna jamaa aliletaga mradi wa visima napo ni miaka 5 nyuma. Napo useme wenzio wanabebwa kaa chini anzeni kuandika massive project za mavyuo mashule mahospital sio kuja za na project na visima Mbona mambo yapo wazi mzee hizo nazaria zako dunia ya leo hazipo hizo hujuma hazipo huko nacte kuna waislam kibao leo hii wawagandamize wenzao kweli??? Acheni chuki kwa mafanikio ya wenzenu embu igeni mjipange kikwete aliejenga shule nchi nzima ili kila mtu asome afu kuna watu msisome mlete lawama hapana hata raisi ni upande wenu waziri mkuu wana uwezo wa kupeleka watu nacte ila mwisho wa siku ukweli ni kwamba kwene elimu mpo nyuma mnahitajika kujipanga pwani ni yenu vyuoni wamejaa wakristu hujiskii vibaya. Uyo jamaa aliekufa apumzike tu chamsingi yakuambiwa changanya na yakwako mnaandamana wote wengine wanaanza kubaki humo humo mitaani kariakoo wengine mnazi wengine posta huenda hata wewe uliingia mitini mtaa wa likoma au aggrey kama ulijitahidi kuzuga zuga basi uliishia mnazi mmoja. Maandamano yakaisha jamaa akabaki anatahabika peke yake huku wewe ukiuza nakala zako kwene matukio yene maumivu kwa wenzio. sasa bucha imekosa nini?? Kitimoto huli, huuzi, huchinji, hununui, sio chako afu uende ukaaribu aloooo huku nilipo wangefanya hivyo basi historia ya genocide ingeandikwa wala sikufichi.
 
Ujamaa...
20:80 ni mgawo wa fursa.
Mimi naleta taarifa nyingi hapa si kwa nia ya kubishana na kufanya malumbano ni kutoa taarifa ambazo zimefanyiwa utafiti wa Waislam na kuziweka hadharani ili zijulikane.

Hiyo 20:80 iangalie hapo chini:
 
Ed...
Nakuwekea mfano mmoja tu wa hujuma ninayo mingi lakini huu mimi nilishughulika na kuwashirikisha watafiti wengine nje ya nchi wanisaidie kutafuta tatizo:

Soma hapo chini yaliyotokea mwaka wa 1999 na Kitwana Kondo akalifikisha Bungeni:

''Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.''

Wataalamu wa elimu niliowaeleza matokeo haya walishindwa kupata jibu la kisayansi na waliniuliza maswal mengi na mwisho walisema wangependa kupata taarifa zaidi na wako tayari kuja Tanzania kwa utafiti zaidi.

Afisa aliyekuwa kinisaidia katika hili nilipomweleza akanishauri tusitishe hili zoezi.
Mimi sikuchoka nikawaomba hawa wataalamu wanipe jibu moja wanalodhani kuwa linaweza kusabisha matokea yale.

Wote walisema, ''Hujuma.''
Mbona nanusa viashiria vya upotoshaji na kupandikiza chuki fulani.... Mtu akuonee katika elimu wakati anachoona ni namba tu ya mtihani? Utatetea labda kwa shule za kiislamu tupu eeh

Umeleta taarifa isiyo na muunganiko katikati ni kwamba umelitaja tatizo, ukaruka njia, uchunguzi, majadiliano..... ukarukia kusema hitimisho kuwa ni hujuma. Kisayansi hauna mmlaka ya kutoa jibu wakati umekiri hauna data yoyote - Appeal to ignorance.

Hii sio sawa, kama umeona utumie silaha zozote kisa upo vitani kutetea imani jikumbushe kuwa midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mungu, msema kweli mpenzi wa Mungu. Mungu/dini gani hiyo itakayotetewa kwa uongo?

Hivi kweli hata mimi ambaye sijaunda tume kuchunguza huko kufeli kumetokanaje mbona majibu ya kuanzia[factors] baadhi yapo mfano suala la kukosekana kwa 'mchujo mkali' baadhi ya shule za kiislamu hazichuji kabisa wanafunzi wao zinaona ni ubaguzi flani na eti kufaulu ni majaaliwa tu muache aende atafaulu kwa kudra. Mwishoni ukileta wanafunzi mia wakafeli sabini utashangaa tena???? Utahitaji tume!?

Unapotengeneza mazingira ya kama mnaonewa ni kujaribu tu kujustify nanyi kuwaonea wasio na hatia baadae, bad, very bad. Haujengi. Nimeangalia muvi ya morbius nimeona madhara ya mtu kuishi katika jamii anayoamini inamuonea siku akipata nguvu anakuwa hafai kitu badala ya kuwaza kujenga anageuka mnyama. Mbaya sana.
 
Ed...
Nakuwekea mfano mmoja tu wa hujuma ninayo mingi lakini huu mimi nilishughulika na kuwashirikisha watafiti wengine nje ya nchi wanisaidie kutafuta tatizo:

Soma hapo chini yaliyotokea mwaka wa 1999 na Kitwana Kondo akalifikisha Bungeni:

''Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.''

Wataalamu wa elimu niliowaeleza matokeo haya walishindwa kupata jibu la kisayansi na waliniuliza maswal mengi na mwisho walisema wangependa kupata taarifa zaidi na wako tayari kuja Tanzania kwa utafiti zaidi.

Afisa aliyekuwa kinisaidia katika hili nilipomweleza akanishauri tusitishe hili zoezi.
Mimi sikuchoka nikawaomba hawa wataalamu wanipe jibu moja wanalodhani kuwa linaweza kusabisha matokea yale.

Wote walisema, ''Hujuma.''
Mzee wewe ni mpotoshaji mkubwa..tena hufai kuna kitu unakitafuta wewe..ngoja niendelee kukunyea tu mana naona kumbe huna akili nzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna utofauti baina kufanya kitu public na private, huko ulipotembelea kitimoto kipo ila hawauzi public na pia hawawauzii waisilamu bila wao kujua.

Sikuwa na fahamu kipindi hicho cha mabucha, ila kuchanganya nyama na kuwauzia waisilamu kitimoto bila ufahamu wao si jambo la kistaarabu hata kama wewe ni mkristo unatakiwa ulikemee.

Kama kuna demand ya mabucha ya Nguruwe yawe ni ya nguruwe na yatambulike ili musilamu ayaepuke.
Hawakuwa wakichanganya nyama, bucha la nguruwe liliuza nguruwe tu. Nakumbuka kulikuaa na bucha la kitimoto hapo ubungo mataa lilikiwa linauza kitimoto tu, tena kwa siku maalumu.
Kwa hali ilivyo sasa nadhani ndio muda bora zaidi wa kuvunja bar zilizotapakaa kila mahali nchi nzima zikiuza kitimoto.

Wakati ule mkivunja mabucha na kuandama mliamini Rais Mwinyi atawalinda, akawatosa, nakumbuka pia Mkapa alivyowanyoosha pale Mwembe Chai, kwa kifupi waislamu mna shida sana, nakumbuka kuna kijana tulikuwa tunasoma naye primary Liacha shule kwa ajili ya madrasa.
 
Nimetoa kwenye uzi wa mzee

Kilichotokea ni kuwa kijana alitumwa nyama na muuza nyama pengine kwa kutokujua akamuuzia huyu kijana nyama ya nguruwe.

S
ababu ya fujo ni ni mtu katumwa nyama ya kawaida akapewa kitimoto. Hapa inawezekana ikawa bahati mbaya ama kimakusudi mfanya biashara hakuwa mwaminifu labda alikuwa nayo nyingi nyama ya nguruwe akamchomekea.
Kosa lilikuwa ni la kijana aliyetumwa nyama pamoja na familia yake, alitakiwa aongozwe asiende kwenye bucha za kitimoto, bali aende kwenye bucha wanzauza nyama ya ng'ombe, maana kitimoto kilikuwa na bucha zake special.

Hiyo shida ilikuja kuwa kubwa kutoka na kukuzwa na waisalamu wenyewe,.

Na kama tatizo ni nguruwe nadhami kwa sasa hampaswi kabisa kukaa kwenye mabaa mengi, maana mabaa mengi yanauza kiyimoto, lakini ukienda utawakuta waisalmu kibao wanakunywa na wengine kula mdudu
 
Back
Top Bottom